Mkutano mkubwa wa ACT-Wazalendo

Mkutano mkubwa wa ACT-Wazalendo

Nawaeleza mwaka huu mtaelewa nyie kazieni siasa za chuki ambazo hazina tena nafasi karne hii, CCM&CDM nyie ndie mnae haribu nchi hii, CCM kama serikali CDM kama chama cha kuwatetea wananchi mmeshindwa na kuunda mizengwe,chuki,uhasama na kuvisha vijana ufuasi wa kuropoka na matusi kuwa ndio hoja,nchi hii itakombolewa na WAZALENDO hamna wengine

Mkuu hawa watu saa hizi hawana muda wa kuujua UNYERERE. Wao wanawaza U-Nkuruzinza tu.

f84344a7750e16540ecc13c7e52ae288_XL.jpg
 
Mkuu hawa watu saa hizi hawana muda wa kuujua UNYERERE. Wao wanawaza U-Nkuruzinza tu.
f84344a7750e16540ecc13c7e52ae288_XL.jpg
Hivi nyie kwa akili yenu wana cdm mnaweza kumuona Nkuruzinza kakosea? MBOWE NA NKURUZINZA Wanatofauti gani? MBOWE kawafanya mumuone kama mungumtu leo unambeza Nkuruzinza
 
Hivi nyie kwa akili yenu wana cdm mnaweza kumuona Nkuruzinza kakosea? MBOWE NA NKURUZINZA Wanatofauti gani? MBOWE kawafanya mumuone kama mungumtu leo unambeza Nkuruzinza

Mkuu topic haimhusu Mbowe. Tunazungumza UNYERERE wa ACT kwa Wakimbizi kuleeeeeeee NYARUGUSU. Fungua thread ya Mbowe tutaijadili. Kwani wewe hujaambukizwa UNYERERE?
 
Mkuu topic haimhusu Mbowe. Tunazungumza UNYERERE wa ACT kwa Wakimbizi kuleeeeeeee NYARUGUSU. Fungua thread ya Mbowe tutaijadili. Kwani wewe hujaambukizwa UNYERERE?
Shauri chama chako kiache porojo za kike, muda huu ni kufanya kile muhim kwa wananchi
 
Kueneza Ujamaa kwa karne ya kizazi hiki cha dotcom ni sawa na kupiga ngumi kwenye ukuta
 
huko kigoma tume iwe makini hasa wakati wa uandikishaji. kuna hatari ya warundi kuandikishwa maana hii ya act kuwahutubia wakimbizi ina shaka..
 
Nimetaarifiwa na Mzalendo Mwl. Kaijage kuwa leo ACT Wazalendo wayafanya mkutano mkubwa ambao haujawahi kufanyika huko NYARUGUSU kwenye kambi za wakimbizi wanaotoka Burundi.

ACT wanasambaza uzalendo kwa ndugu zetu wakimbizi.

Kiongozi mkuu wa chama atawapa elimu ya ujamaa wa nyerere wakimbizi hao

Mwenyekiti Taifa atawaambukiza UNYERERE ndugu zetu warundi wanaokimbia machafuko kwao.

Tayari mipango imekamilika. Karibuni NYARUGUSU mwambukizwe unyerere, ujamaa na uzalendo.

Sioni CCM ikitoka madarakani kwa mijadala ya hivi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom