Mkutano kujadili Mahakama ya Kadhi: Viongozi wa dini ya Kikristo watoka nje ya kikao

Pinda, ujiko unaoutafuta kwa Mahakama ya Kadhi, utakutokea puani! Wenzio wanaoutafuta Urais, wanakuingiza mkenge, bado tu hujashituka, umeng'ang'ana tu na Mahakama ya Kadhi? Unazidi kujikaanga mwenyewe, achana na upuuzi huo usioweza kukubalika hapa!
 
Mkutano uliokuwa umeitishwa ili kujadili swala la mahakama ya kadhi umeingia dosari baada ya viongozi wa dini ya kikristo kutoka nje ya kikao hicho wakipinga uwakilishi usioridhisha wa viongozi wa dini ya kikristo katika mkutano huo.

Wachungaji waliokuwa wamefika katika katika mkutano huo wamedai kupata mwaliko wa kikao hicho kwa njia ya simu na kwamba viongozi muhimu wa madhehebu ya kikristo hawakualikwa.

Wachungaji hao waliosusia kikao hicho wamelalamikia kukosekana kwa wawakilishi muhimu kutoka katika baadhi ya makanisa kama vile Anglican,KKT na RC.

Kama sikosei,kikao hicho kiliitishwa na waziri mkuu ili kupata ufumbuzi wa swala la mahama ya kadhi.

CHANZO:ITV

pinda lazm aogope uwepo wa pengo o hata uwakilish wake kuz anajua moto wa pengo tokea wapo seminari
 
Yaani PM ana sold out imani za watu?
Kwanza Unaanzaje kuwaita wawakilishi kwa kutumia simu badala ya letter of appointment.
Huyu viongozi atakuwa mwoga sana ama kapewa eskro za kumtosha yeye ma ukoo wake ili ahujumu fikra kinzani.

Uislam ni shideeer. .am proudly christian

Uliangalia hii taarifa ya habari baada ya kukurupuka kutoka usingizini nini?

Uchafu wa ccm unazidi kujianika juani mpaka kipofu sasa anauona poor ccm

Kubali ccm ni janga mpaka watabiri wameshasema

Uislam au ukristo si shida shida ni ccm

Lete basi hiyo yako iliyo sahihi.

M christian and ready for crusade

Pinda hajafanya fyongo hili. He had a very good ambition of informing and getting important and cooling points over a phenomena from all parts concerned.

Hii post imekuja na mapungufu mengi juu ya uhalisia wa jambo hili.

Nimwombe mtoa post atuombe Radhi au arejee sources zake za informations kisha arekebishe kauli na points zake.

Pinda si mtu wa KALIBA hiyo.
 
Ukweli utakuweka huru hili sakata linamizengwe mingi sana
 
Uwe na aibu!

Nipotoshe ili iweje?Kumbuka hii ni summary tu.Tusubiri magazeti ya kesho.
 
Sawa mkuu. Tutayafuatilia. But i real know what is going on with this. Si suala la kusema PINDA kafanya fyongo au nani kaharibu.
Tutawasiliana kesho.

Ukweli utakuweka huru hili sakata linamizengwe mingi sana

Ni kweli Mkuu. Na mizengwe hii haijaanza jana wala leo. Itaendelea daily (kama hazitafuatwa taratibu husika kufikia muafaka huu wa kukataa au kukubali.

As for me, naaminj kwa Tz ninayoijua hii, kazi itakuwepo kubwa mno kuruhusu mahakama hii.

Iwe chini ya CCM au chama yoyote.
 
Hii ni drama tu sisiemu wanacheza ili kuwasogeza waislamu kwenye sanduku la kura za maoni, believe me hili vuguvugu la kura na uchaguzi likipita hautokaa uisikie tena mahakama hii ya sharia law.
 
Safi sana wachungaji.msimamo wenu nimeupenda.Na msikubari. huo uupuzi.serikali haina dini.
 
Pinda hajafanya fyongo hili. He had a very good ambition of informing and getting important and cooling points over a phenomena from all parts concerned.

Hii post imekuja na mapungufu mengi juu ya uhalisia wa jambo hili.

Nimwombe mtoa post atuombe Radhi au arejee sources zake za informations kisha arekebishe kauli na points zake.

Pinda si mtu wa KALIBA hiyo.

Acha kutumia ma.,ta.ko katika kufikiria! Pamba.ff!
 
.....nyie waislam vipi mnatumika,hakuna mahakama ya kadhi maana tanzania haina dini
 
Uislam si hiyo shideeer usemayo, ila ukisema waislam ni shideeer waeza kua karibu na usahihi kama sio shihi yenyewe.

Mkuu,
Allah demands too much than what believers can afford to give.
Believers are working their butt off to make sure that they satisfy Allah. But it seems, there still more conditions yet to be met. And that is to wipe off non believers in the face of the earth. Which is impossible to achieve.
There's a stumbling block whereby; non believers are the ones who sets the rule of the game.
They are large in Number, More educated, they have less conflicts among them compared to Believers.
And most of all its seems they don't want to convert to Islam.

All deceptions imposed through terrorism, taqiya thing etc have gone viral and some has started to backfire among Believers themselves.

Justice can be without Kadhi. In general Kadhi sucks.
Believers don't have enough fund to run the Kadhi by themselves.
Secularism is more appealing to majority.

It seems the world will not regret if ya'll gone.
So You need us than we need you.
 
duh.......
 
Kistaarabu tukumbuke mambo ya msingi kwanza kabla ya kufikiria vitu visivyo na tija kwa wote ila wachache.........Tanzania ni nchi yenye utamaduni mchanganyiko.....yaani multi-culture......tofauti na mataifa mengine........but kiukweli watu hawana elimu ya kutosha ya mipaka ya kimaamuzi ya kiraia.Unapoishi na kuitwa mtanzania unatakiwa kufahamu ni kwanini unaitwa mtanzania..........kiukweli watu wengi wanajisahau.......wanaanza kugeza imani au vyama kuwa ngao ya kupambania shida zao.......that is so stupid........!
 
MCHUNGAJI YEYOTE ATAKAYERIDHIA UPUUZI WA MAHAKAMA YA KADHI tutamshughurikia.awe askofu,mchungaji mkata michongoma kanisani ili mradi tu kaikubari mahakama ya kadhi lazima ashughurikiwe kikamilifu.
 
Pinda hajafanya fyongo hili. He had a very good ambition of informing and getting important and cooling points over a phenomena from all parts concerned.

Hii post imekuja na mapungufu mengi juu ya uhalisia wa jambo hili.

Nimwombe mtoa post atuombe Radhi au arejee sources zake za informations kisha arekebishe kauli na points zake.

Pinda si mtu wa KALIBA hiyo.

...Mkuu parts concerned hapo ni mbili tu. CCM na Waislam.
waache kuwahangaisha wengine kwenye upuuzi wao.
 
Back
Top Bottom