Mkurugenzi wa Uyui chukueni hatua kwa Mwalimu huyu anayewalazimisha watoto wa kike kufanya nae ngono uzembe!!!

NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

JF-Expert Member
Oct 29, 2019
8,526
17,433
Ndugu Hemedi Mkurugenzi wa halmashauri ya Tabora wilaya ya Uyui wananchi na wakazi wa Kata ya Loya wanamlalamikia mwalimu wa sekondari ya Loya kwa unyanyasaji wa kingono kwa mabinti wa kike shuleni hapo!! Mwalimu huyu ambaye amehamia kutokea Madaha sekondari amekuwa kero shuleni hapo kwa wanafunzi wa kike!!!Ni mnywaji wa pombe kupindukia pia!

Amekuwa akiwatishia adhabu kali kwa wale wanaomkataa kufanya nae kitendo hicho cha aibu! Ipo mifano na ushahidi tosha wa baadhi ya wanafunzi wa kike wanaonyanyaswa na mwl huyo!!Kibaya zaidi Mwalimu huyo anakaa kwenye darasa la shuleni hapo !!!

Wananchi wanaomba mamlaka husika ichukue hatua ili kuwalinda watoto wa kike!!!
 
Nyinyi wananchi kwa kushirikiana na uongozi wa shule, provided ushahidi upo, mumeshindwa ku deal na huyo kahaba ?
 
Mimi na mabinti damudamu,in mwanaFA voice.

Mabinti Siku hizi ni kuwa nao makini.pia na wewe hatujui nia yako kama no ya heli kwa mwalimu au ya Shari.

Umeshindwa kuripoti swala hilo dawati LA jinsia!.emu kuwa siliasi basi.
Chapeni Nazi majungu no.
 
Mkuu umeleta habari huku hata kutaja jina umeshindwa unataka wamchukulie hatua nani?
 
Ndugu Hemedi Mkurugenzi wa halmashauri ya Tabora wilaya ya Uyui wananchi na wakazi wa Kata ya Loya wanamlalamikia mwalimu wa sekondari ya Loya kwa unyanyasaji wa kingono kwa mabinti wa kike shuleni hapo!! Mwalimu huyu ambaye amehamia kutokea Madaha sekondari amekuwa kero shuleni hapo kwa wanafunzi wa kike!!!Ni mnywaji wa pombe kupindukia pia!

Amekuwa akiwatishia adhabu kali kwa wale wanaomkataa kufanya nae kitendo hicho cha aibu! Ipo mifano na ushahidi tosha wa baadhi ya wanafunzi wa kike wanaonyanyaswa na mwl huyo!!Kibaya zaidi Mwalimu huyo anakaa kwenye darasa la shuleni hapo !!!

Wananchi wanaomba mamlaka husika ichukue hatua ili kuwalinda watoto wa kike!!!
Mtiririko wa andishi hili ni wa kiunaa zaidi.

Walimu wa sekondari wana mamlaka zao za nidhamu pale halmashauri, imeshindikanaje kumripoti huko ili hatua madhubuti za kinidhamu zichukuliwe dhidi yake?

Hapa yawezekena kakupokonya hawara yako kizembe, hivyo ikakuuma na ukakosa la kufanya, umekuja hapa si kwa kutaka mhusika ajirekebishe bali umekuja kwa ajili ya kumwaga ugali.

Mwisho wetu binadamu saazingine unakuwaga mbaya sana chanzo chake kikiwa ni hiyana na wivu.
 
Hizo comment zenu zinanisikitisha.
Huyo mleta mada yupo sahihi walimu wa hivyo wapo.

Hata hapa shule ninayosoma yupo mwalimu anatongoza wanafunzi wa kike wa form one ambao wengi ni 14-16 hawa ambao wanaanza kubalehe hivyo huwa wanapendeza sana.

alafu huyo mwalimu ni mtu mzima labda 35 hivi. Now namvutia kasi akalale miaka 30 jela ili iwe fundisho kwa wajinga wengine kama yeye hakuna kuchekea tabia mbovu za makusudi.
Hapo ndipo atajua uchungu wa mtoto.

Ina maana yeye hajui kama ni kosa kisheria kufanya ngono na mwanafunzi?
Yeye mtoto wake akitongozwa na mwalimu atafanya nini na atajisikiaje?
Unategema mwalimu ndio atengeneze taifa la watu wanaojitambua badala yake anatengeneza malaya na waoga.

Mleta mada peleka huyo mwalimu kwenye sheria.
 
Kuchongeana Tu,Kweli Kata Nzima Hakuna Wa Kulichukulia Hatua Hilo Swala Mpaka Uje Huku??
Hii Haijakaa Sawa Hata Kidogo,Hapo Umeisema Pombe Au Umesema Tabia ya Kungoneka??
Kuna Element ya Chuki.
 
Ndugu Hemedi Mkurugenzi wa halmashauri ya Tabora wilaya ya Uyui wananchi na wakazi wa Kata ya Loya wanamlalamikia mwalimu wa sekondari ya Loya kwa unyanyasaji wa kingono kwa mabinti wa kike shuleni hapo!! Mwalimu huyu ambaye amehamia kutokea Madaha sekondari amekuwa kero shuleni hapo kwa wanafunzi wa kike!!!Ni mnywaji wa pombe kupindukia pia!

Amekuwa akiwatishia adhabu kali kwa wale wanaomkataa kufanya nae kitendo hicho cha aibu! Ipo mifano na ushahidi tosha wa baadhi ya wanafunzi wa kike wanaonyanyaswa na mwl huyo!!Kibaya zaidi Mwalimu huyo anakaa kwenye darasa la shuleni hapo !!!

Wananchi wanaomba mamlaka husika ichukue hatua ili kuwalinda watoto wa kike!!!
Poleni aisee wanakijiji inatakiwa mfanye mpango mmfumanie halafu pelekeni Polisi

Out of topic samaki bado wapooo?
 
Hizo comment zenu zinanisikitisha.
Huyo mleta mada yupo sahihi walimu wa hivyo wapo.

Hata hapa shule ninayosoma yupo mwalimu anatongoza wanafunzi wa kike wa form one ambao wengi ni 14-16 hawa ambao wanaanza kubalehe hivyo huwa wanapendeza sana.

alafu huyo mwalimu ni mtu mzima labda 35 hivi. Now namvutia kasi akalale miaka 30 jela ili iwe fundisho kwa wajinga wengine kama yeye hakuna kuchekea tabia mbovu za makusudi.
Hapo ndipo atajua uchungu wa mtoto.

Ina maana yeye hajui kama ni kosa kisheria kufanya ngono na mwanafunzi?
Yeye mtoto wake akitongozwa na mwalimu atafanya nini na atajisikiaje?
Unategema mwalimu ndio atengeneze taifa la watu wanaojitambua badala yake anatengeneza malaya na waoga.

Mleta mada peleka huyo mwalimu kwenye sheria.
Upo form gani?
 
Back
Top Bottom