Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke amtangaza Mtolea kuwa mshindi wa Kiti cha Ubunge

Huyu Mwakibibi dawa yake inachemka, atanyweshwa muda sio mrefu. Aliharibu uchaguzi kwenye lile jimbo akapewa Eng Chiza, wakati alishindwa. Akahamishiwa Temeke. Leo anakuambia wagombea wa vyama vyote, hawawezi kujaza fomu, sasa sijui zimeandikwa Kinyakyusa? Au!! Maana yeye tu ndie anajua kuzijaza na anawajazia wagombea wa CCM. Jamani watanzani tuamke na kuikataa hii Tume ya uchaguzi ya CCM.
Aaah ! Wapi ! Tume hii ndo ilimpa ubunge Mbowe, Esther Matako na wengineo
 
Na katika mambo munayoonekana baadhi yenu munafikiria kwa kurudi nyuma ni kudhania kwamba upinzani ndio adui Wa maendeleo ya Tanzania. Adui Wa maendeleo yetu ni baadhi yetu kuwa vibaka na watanguliza maslahi binafsi kuliko ya walio wengi.
Kati ya hao vibaka watatu walikimbilia chaka chadema wanakopata hifadhi!
 
Mimi naunga mkono tumeokowa pesa za walipa kodi, hata ungefanyika uchaguzi maagizo yanafahamika ni lazima atangazwe Mtolea.

Chadema kujitowa kwenye hizi chaguzi za marudio za maigizo ni uamuzi wa busara sana.
True; upande huo wa gharama unaweza kuwa mzuri lakini sidhani kama tunaweza tukakubali chaguzi zote watu wapite bila kupinga ili kusifanyike uchaguzi... Ndio maana akiwepo mgombea mmoja wa Urais, hapiti bila kupingwa...
 
Jana Hapa keko magurumbasi wamepita ccm hata 50 hawafiki na misafara yao magari yako tupu.watu tunawachora tu.Namhurumia sana mtolea.Maana hapa temeke hakubaliki kabisa.bora enzi za Mtemvu Temeke ilikuwa inashine.
watu walimchagua mtolea si kwa uwezo wake bali ni kwa sababu ya kuichoka ccm.Tutamsulubisha.mwambie ajiandae kisaikolojia labda awe mbunge wa bungeni lakin hana hata ubavu wa kufanya mkutano wa hadhara hapa tmk
 
Mimi naunga mkono tumeokowa pesa za walipa kodi, hata ungefanyika uchaguzi maagizo yanafahamika ni lazima atangazwe Mtolea.

Chadema kujitowa kwenye hizi chaguzi za marudio za maigizo ni uamuzi wa busara sana.
uchaguzi haukufanyika sababu hakuna pesa ndio ikabidi utumike ujanja huu huu hawajui kujaza form. pesa hakuna zimeisha so hakuna savings.
 
Safi sana wakisusa watu wanakula endelea na pale uliposimamia!
Mwananchi wa kawaida kushangilia kuongeza kwa wasema NDIOOOO bungeni ni ukichaa usio kipimo. Ni sawa na wale walio vaamikijani mlio wakusanya pale Kimara eti Magu anasema hatutalipa fidia kabisa wao wanashangilia. Hata mjinga anaweza shangaa, iweje wao wabomolewe kisha washangilie?
Tumieni akili maana kutumiwa siku mkifumbuka macho mtajijutia
 
Ni demokrasia ya kujiamulia kila mmoja awe upande gani wa kushindwa au kushinda!
 
Back
Top Bottom