Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza acha ukiritimba wa kutosaini mafaili ya watumishi

Jumatatu Kama Hujalipwa Lete Mrejesho Kwenye Hii Thread Yako
Inshaallah usiwe na hofu. Jumatatu nitaleta mrejesho. Maana si mtumishi mmoja tu ni wengi tu. Sems watumishi wengi hasa walimu ni waoga sana kuekeza matatizo yao wao wanaona kama wanapewa tu kwa huruma hawajui ni haki yao tena ya laxima sana tena itoke kwa wakati muafaka.
 
Sheria Ifuatwe Mkurugenzi Ni Mtumishi Kama Wengine
Ndiyo Maana Akiharibu Anaweza Kutimuliwa Asubuhi
 
Wee jaamaa baada ya kulalamika jana pale kwenye korido ndio umekuja mbali huku. Nenda kamchane laivu pale pale ebo!!!
 
Kama ni walimu mkurugenzi yupo sawa. Afanye kazi Kwa mujibu wa Sheria ajiridhishe na ahakikishe Kama procedure zote zimefiatwa. Walimu walituharibia uchaguzi so siyo wa kuwatetea. Let them suffer
 
Back
Top Bottom