Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,483
- 40,004
Mimi ningependa kujua kama ni kweli kuwa Gotham pia ni mtumishi wa TIC...
Mkuu baba enock,
kama mdanganyika nimelifwatilia sana hili swala mpaka kufikia kwenda kujifanya mwandishi na kuzama ndani ya hiyo press confrence waliotisha hao kina gotham,kudhibitisha,yule kubenea aliingia na islam wa thisday pamoja,yule lina denny wa channel10 aliondoka mapema,nilipata hadi handout ya presentation,nilistuka kumskia sarah mossi sijui wa RAI kusema,kwamba aliwaambia wenzake kuhusu ukweli wa gotham wao wakasema tumbamize tu anajifanya mjanja!!kama kuna mwandishi humu ndani aliudhuria atakumbuka hilo,mlangoni kulikuwa na wakribishaji wawili mmoja mrefu mmoja mfupi(sijui wa hoteli au wa gotham)
sasa,mie hapo juu niona ni kuchafuana tu,amna swali la msingi,mara wizi mtupu(hii ishakuwa komedi)mara kyarusi sio DR( halafu?) swala hapa ni vitambulisho vya utaifa hili jamvi ni juu zaidi ya mtu yeyote hapa,mie naweza kuscan page mbili za hiyo presentation ya hao kina gotham iliyosimama(inajieleza) je wewe na hizo shtuma zako unaweza kuthibitisha au habari kutoka mtu wa tatu?
hapo nyuma nilisema tuache kupotoshana,hilo naona kwako wewe imekuwa ngumu umechukuwa hili personal(eti mie mzalendo kweli?) sasa uoni hapo unataka tuache mada tuanze kujadiliana?
basi wewe ni mzalendo zaidi yangu maradufu,je umeweza kupata usingizi?
6 Zilizotangazwa.
1. Unisys
2. Giesecke & Devrient FZE Dubai
3. Iris Malaysia
4.Madras Security Printers India
5.Marubeni
6. Tata
???
Tata ndio wanaotengeneza Magari India? Marubeni nilisikia kwenye kesi ya EPA, wanaweza ID nazo..whose who??.
Which company can really Modernize ICT and deploy a smart card based National ID for Bongo People.. facts!
mzalendo, acha ubabaishaji, twambie unachojua wewe kuhusu gotham na umnjibu mmj swali lake, gotham kaanza lini u consultance wa mambo ya vitambulisho.
- ukatae kuwa kyaruzi hakushindwa na mradi wa smart card pale mlimani
- uthibitishe kuwa kyaruzi kafanikiwa kuwa dr
- na ukatae kuwa kyaruzi si rafiki wa karibu wa maimu na hivyo kuufanya mradi wenyewe uwe wa maimu.
Sisi ndiyo watu wa ajabu kweli duniani. Tumeumbwa kuamini geresha na ndani yetu kuna visumaku vya kukubali maneno matamu na ahadi zenye "nia nzuri".
Yaani, hawa hawa ambao hadi leo hii hawajatoa maelezo ya Kagoda tunataka tuamini kuwa leo wameokoka na wana nia nzuri!
Yaani, hawahawa ambao hawajamaliza suala la rada tunataka kuwapa la kitambulisho
Yaani, hawahawa ambao hawajamaliza la Minara Pacha, leo wanakuja na mradi mwingine tunatakiwa tukumbatie kwa sababu "una lengo zuri"!
Yaani, hawa hawa waliotuingiza kwenye Richmond kwa lengo zuri la kutupatia umeme ndiyo hawa hawa tunaambiwa tukubali tu kwa vile wana "mshauri mzuri!"
Yaani, hawahawa ambao hadi leo hii hawajatuelezea Shilingi trilioni moja iliyokwapuliwa BoT imeenda wapi, leo tunatakiwa tukubali wachukue bilioni 200 kwa mradi "muhimu wa TAifa!"
Yaani, hawahawa ambao wanataka kujenga flyover Dar, wanakuja na mradi mabasi yaendayo kasi lakini wameshindwa kufunga taa za kuongozea magari karibu kila kona za Jiji la Dar au miji mingine ati tunatakiwa tuwashangilie na mradi wa vitambulisho!
Yaani, hawahawa?
Kuna uwezekano sisi tumerogwa, tunaumwa au tunawazimu!!! Nawaandikia barua... maana kama ni uhuni huu ndiyo halisi.. yes I mean Uhuni!!

Kasheshe na Mzalendo;
Unapojadili issue lazima ujadili na watu au wataalamu ambao wanakuwa involved in the project. CV inayojiuza ni ile inayoonyesha huko nyuma uliwahi kufanya nini na kufanikiwa. Kama uliwahi kufeli kwenye project ni utata mtupu.
Naombeni mjibu hizo hoja zilizotolewa hapo juu. Kisha tuendelee.............
ukatae kuwa kyaruzi hakushindwa na mradi wa smart card pale mlimani
Kwa vyovyote background yako itakuwa kwenye academics, yes... kushindwa u-Dr. sio kushindwa kufanya kazi... watu wengi wanaoongoza makampuni na wanaofanya actual business consultants sio ma-doctor... hivyo... hili halina maana yoyote... Kuna Dr. kwenye hiyo Idara alikuwa ola kuliko Kyaruzi aliyekuwa na U-Dr.... it is just a crap statement.
- uthibitishe kuwa kyaruzi kafanikiwa kuwa dr
Sijui, na sioni umuhimu wake kwa sasa... only pale uchunguzi ukionyesha hiyo kampuni haina uwezo... then twende kwenye issue ya pia walikuwa marafiki.
- na ukatae kuwa kyaruzi si rafiki wa karibu wa maimu na hivyo kuufanya mradi wenyewe uwe wa maimu.
Kasheshe na Mzalendo;
Unapojadili issue lazima ujadili na watu au wataalamu ambao wanakuwa involved in the project. CV inayojiuza ni ile inayoonyesha huko nyuma uliwahi kufanya nini na kufanikiwa. Kama uliwahi kufeli kwenye project ni utata mtupu.
Naombeni mjibu hizo hoja zilizotolewa hapo juu. Kisha tuendelee.............
Kwa ufafanuzi:
Azimio la zanzibar linaruhusu watumishi wa umma kufanya biashara-mradi usiende kinyume cha taratibu za utawala bora.
Nikiwa mtumishi wa UMMA ningependa KUSISITIZA UMUHIMU WA NATIONAL IDs, kwa kweli kutokuwepo kwake kunapelekea mambo mengi sana kutofanyika kwa ufanisi ikiwemo gharama kubwa kwa kurudia mazoezi kadhaa mf sensa, usajili katika mifuko ye pensheni, bima za afya nk.
National Ids zina faida nyingi nadhani maradi hauna tatizo-suala kubwa ni UTAWALA BORA KATIKA UTEKELEZAJI WA MRADI.Tupige kelele huko kwenye UTARATIBU NA MCHAKATO WA ZABUNI na sio kwamba hatuhitaji IDs ?
Fairplayer;
Planning & Execution are two different things; let compare apple to apple... Planner/Consultant and Constructor are two different role either.
Engineer and Technician are two different job, one can not do the job of the other effectively. Unakikumbusha mheshimiwa Sumaye... Mwaka fulani alivyomwambia mhandisi avue suti azame kwenye mtaro ya bomba la maji wakati huo maji yalivyokosekana Dar....
Kazi aliyofanya ambayo ndio munayoitumia si equivalent na ambayo atafanya.
Yeye ni Mshauri, they have better general understanding of the technology to be used! Atakaye implement ni constructor.
Suala la kufeli miradi iliyopita unless iwe mingi ndio nitatilia shaka... lakini suala la ku-feli sio tatizo, taizo ni kutojifunza baada ya ku-feli.
Kuhusu Maswali ya huyo mheshimiwa mwingine.
Kwangu hili sio tatizo, unless uwe na riport independent ya kuonyesha alifeli kwa sababu gani? za mteja, za uwezo, wake, za financer etc?
Kwa vyovyote background yako itakuwa kwenye academics, yes... kushindwa u-Dr. sio kushindwa kufanya kazi... watu wengi wanaoongoza makampuni na wanaofanya actual business consultants sio ma-doctor... hivyo... hili halina maana yoyote... Kuna Dr. kwenye hiyo Idara alikuwa ola kuliko Kyaruzi aliyekuwa na U-Dr.... it is just a crap statement.
Sijui, na sioni umuhimu wake kwa sasa... only pale uchunguzi ukionyesha hiyo kampuni haina uwezo... then twende kwenye issue ya pia walikuwa marafiki.
---Kuchagua rafiki sio shida, shida ni kuchagua rafiki asiye na uwezo.
Kasheshe: Kidogo naomba kuchangia, kuwa mshauri wa mradi sio suala dogo. kwa tafsiri nyingine huwezi kumtenganisha mshauri wa mradi uliokwama na mtekelezaji wa mradi. Otherwise unahitaji kujua zaid kuhusu Project Management.
Mzee... kuonyesha naelewa naomba nikupe mfano mmoja tu...
Kuna kampuni inaitwa Norconsult, imekuwa inafanya kazi ya consultation kwenye miradi mingi mikubwa ya barabara kama consultant na wakati mwingine project manager.
Sasa swali. uliwahi kusikia lini hili kampuni lina matingatinga ya kutengeneza barabara, au wapi walitengeneza barabara ya KM moja?
Hivyo nasema kuwa consultant au project managers... sio lazima uwe na uwezo wa kujenga barabara.... hivyo Kyaruzi kufeli kama constructor au implementer sio lazima ashindwe pia kwenye consultation.