Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 3,772
- 4,913
Democracy Ina mipaka yakeUSA si-kuna democracy au democracy imeshakufa !?
Leo mkuu wa usalama wa nchi aanze kuropoka hovyo unafikiri ataachwa tu
Democracy Ina mipaka yakeUSA si-kuna democracy au democracy imeshakufa !?
Kasema vita ya Iran haina maana pia Iran sio threat kwa US kwa uchunguzi wake hapo kakosea wapi?Sababu za kujiuzulu sio zile za kwamba Marekani imekua km panya wa Israel ambae anaonekana km Paka kwake, huwezi kufurahi hata ungekua wewe
Mbona Trump anaropoka hovyo hovyo tu..Democracy Ina mipaka yake
Leo mkuu wa usalama wa nchi aanze kuropoka hovyo unafikiri ataachwa tu