Mkurugenzi Manispaa Zanzibar amwagiwa tindikali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkurugenzi Manispaa Zanzibar amwagiwa tindikali

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by abdulahsaf, Feb 22, 2011.

 1. a

  abdulahsaf JF-Expert Member

  #1
  Feb 22, 2011
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  [​IMG] Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohamed Gharib Bilal, akimfariji Mkurugenzi wa Baraza la Manispaa Zanzibar Rashid Ali Juma (45) alipomtembelea leo katika Hospitali ya Aga khan jijini Dar es salaam alikolazwa kwa matibabu kutokana na kuumia vibaya sehemu za usoni, tumboni, kifuani na ubavuni baada ya kumwagiwa Tindikali na Mtu asiyejulikana, wakati alipokuwa amekaa nje ya Msikiti wa Amani mjini Zanzibar baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Insha saa 2:45 usuku, siku ya Alkhamis . Kwa muujibu wa madaktari wanaomhudumia Mkurugenzi huyo, wamemuambia Makamu wa Rais kuwa hali yake inaendelea Vizuri.  ©VPO.
   
 2. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #2
  Feb 22, 2011
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Inasikitisha sana
   
 3. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #3
  Feb 22, 2011
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wote waliofanya haya wanatakiwa kuchukuliwa hatua kali sana
   
 4. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #4
  Feb 22, 2011
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Inabini mtoa mada utuletee full details kwanini imekuwa hivyo!
   
 5. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #5
  Feb 22, 2011
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Maskini wangempofusha macho
   
 6. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #6
  Feb 22, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Huyu mkurugenzi aliamuru vibanda vya wafanyabiashara kuvunjwa huko zanzibar. Jamaa wakaamua kumfanyizia
   
 7. Mlangaja

  Mlangaja JF-Expert Member

  #7
  Feb 22, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 541
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Kukimbilia misikitini hakutasadia. Watatue matatizo ya watu na si kuwabebesha mizigo.
   
 8. Ngisibara

  Ngisibara JF-Expert Member

  #8
  Feb 22, 2011
  Joined: Jan 2, 2009
  Messages: 2,083
  Likes Received: 431
  Trophy Points: 180
  Huenda baada ya sala kwisha .... alikuwa anavizia kawindo fulani akakachakachue pahala fulani vile, pole yake
   
 9. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #9
  Feb 22, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Ni kweli kabisa mkulu,......
   
 10. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #10
  Feb 22, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Je na hayo Mafisadi wanaotukandamiza sisi walalahoi wanachukuliwa hatua gani? Mi naona huyo mshikaji alimwagia tindi kali hakuwa na shaba ya kulenga macho. Dawa ya Mafisadi ndio hiyo sasa, Bado Lowassa, RA, Kikwete na wengineo. Tukifanya hivi katika kipindi cha miezi 6 tu nchi haitakuwa na Mafisadi tena. Mwaga Mwaga Tindi Kali kwa Mafisadi ndio dawa yao:wink2:
   
 11. KIMICHIO

  KIMICHIO JF-Expert Member

  #11
  Feb 22, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 1,184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Wanawaonea wafanyabiashara ndogondogo kwa sheria zao za kipuuzi halafu wanafikiria nini?
   
 12. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #12
  Feb 22, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Akome tena kufanya Ufisadi sasa hivi watu wameshachoka na tabia zao za kuwatetea wageni na kuwafukuza wazalendo sehemu zao za kujipatia riziki, wasome alama za nyakati. Na bado Mafisadi wote wanatakiwa kumwagiwa tindi kali ili wakome na wawe vipofu
   
Loading...