Liko wazi na linafahamika wanachofanya ccm na serikali yao.Lakn kamwe !! ! 2o15 chadema ndani,! Ukiona unasemwa sana ujue unakubalika"
Mtoeni LWAKATARE ninyi si mavuvuzela? kisha wachoma wengine huko, sikilizia kesho kisutu.
Liko wazi na linafahamika wanachofanya ccm na serikali yao.Lakn kamwe !! ! 2o15 chadema ndani,! Ukiona unasemwa sana ujue unakubalika"
chadema wanatakiwa M4C ianze, kwa kuwasambaza BAVICHA kila kanda makao makuu wabaki magwiji tu kwa ajili ya master planning, execution ya master plan ifanywe na bavicha.Mh.Mbowe arudi HQ kwa ya planning and commanding.sasa kazi imeanza rasmi.Bahati nzuri vyombo vya habari vimeathiriwa na digitalism, kwa hiyo coverage of media has no significant effect
Mwanasiasa anayeandaliwa ni yule Mch. Mtikila na kesho ataitisha kikao na waandishi Hoteli ya Travetine Magomeni
Sinema hii mwisho wake sijui ni nini???
sasa mbona hueleweki? unachosema unapinga ukweli!
Ningekuwa mimi ni Slaa ningelinga sana na wala nisingetumia hii ID yangu bali ningetumia Verify User Name.Lazima wewe utakuwa SLAA tu, kazi yako ku-preempt vyombo vya dola, tulishakuzoea.
Hebu mtu mwenye ufafanuzi asaidie. Hivi kwa mfano, polisi wakaendelea na hii kamata-kamata ya viongozi wa CHADEMA, wakawafungulia kesi za ugaidi, na hata baadae wakafanikiwa kuwafunga (hata safu nzima ya uongozi wa juu wa CHADEMA), nini kitatokea?
Kwamba, CHADEMA kitakosa wafuasi na hivyo kufa?
Au watanzania wote watakikubali CCM kwa hamasa kubwa?
Wananchi hawatakuwa na malalamiko tena kuhusu serikali ya CCM na hata mgogoro wa mabucha utaisha?
Sijaelewa!
Taarifa za uhakika nilizozipata muda mfupi uliopita ni kwamba mkurugenzi wa Kmapeni na Uchaguzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Msafiri Mtemelwa, kesho saa tatu asubuhi ameambiwa afike kituo cha Polisi Central kwa ajili ya mahojiano.
Ingawa haijawekwa wazi ameitwa kwa ajili ya mahojiano ya namna gani ni djhahiri itakuwa ni juu ya sakata la mkanda unaomuonyesha lwaakatare akipanga njama zinazodaiwa kuwa za kihalifu.
wakati huo huo kuna mkakati mzito wa ndani ya Chama cha Mpainduzi unaoendelea kwa sasa kwa ajili ya kumrubuni mmoja wa wanasioasa nchini ili aitishe mkutano na waandishi wa habari kuelezea suala zima la kukamatwa Kwa Lwakatare, Madhumuni yakiwa ni kuonyesha kuwa CHADEMA inahusika na masula ya kigaidi.
CCM, Katika hili wanataka kujiweka pembeni bali huku maneno wanayotaka jamii ifahamu akiwa ameelekezewa huyo mwanasiasa wanayemuandaa kwa sasa.
Tusubiri na tuone muujiza mwingine wa filamu hizi.
Mwanahalisi waliandika habari za zito miaka sita iliyopita ,uwongo hujitenga ukweli unajiweka wazi baada ya Denis Msacky kuwa ndio target ujue Zitto, Ridhiwani January Makamba, Mwiguru Nchemba Nape Nauye,Jakaya Kikwete,Kinana wote lengo lao la mwisho ni kumti ndani Babu Slaa,na Kamanda wa anga Mbowe wakidhani watasimamisha M4C,kwa hiyo hata Ben akiwekwa ndani sawa tuu,ni enzi za kikwete hizi lakini zitapita kwa sababu sizani kama ataishi kuona miaka sabini roho yake mbaya sana na amewaumiza wengi wanaomwombea laana kwa mungu. nadhani Chadema secretariat wameshajiandaa sasa Kusweka ndani kwa raha za Kikweteanatakiwa afike asipofika akamatwe bado ben na ishu ya jimbo la uzini,sumu ya zito,na post zake zenye kuonesha kufahamu suala la msaky vizur
Mungu mkubwa sana na kamwe hawezi kuwaacha watu wake, kawaonesha watanzania kuwa heri CCM mara 70 kuliko hawa wanaokesha majukwaani kwa porojo kumbe wataka madaraka kwa kuwateka watu, Hongera CCM mungu kawapiganiawatanzania wa leo siyo wale wa mwaka 1961, wanaelewa kila kitu ccm na polisi wao wote watafia mbali 2015
Taarifa za uhakika nilizozipata muda mfupi uliopita ni kwamba mkurugenzi wa Kmapeni na Uchaguzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Msafiri Mtemelwa, kesho saa tatu asubuhi ameambiwa afike kituo cha Polisi Central kwa ajili ya mahojiano.
Ingawa haijawekwa wazi ameitwa kwa ajili ya mahojiano ya namna gani ni djhahiri itakuwa ni juu ya sakata la mkanda unaomuonyesha lwaakatare akipanga njama zinazodaiwa kuwa za kihalifu.
wakati huo huo kuna mkakati mzito wa ndani ya Chama cha Mpainduzi unaoendelea kwa sasa kwa ajili ya kumrubuni mmoja wa wanasioasa nchini ili aitishe mkutano na waandishi wa habari kuelezea suala zima la kukamatwa Kwa Lwakatare, Madhumuni yakiwa ni kuonyesha kuwa CHADEMA inahusika na masula ya kigaidi.
CCM, Katika hili wanataka kujiweka pembeni bali huku maneno wanayotaka jamii ifahamu akiwa ameelekezewa huyo mwanasiasa wanayemuandaa kwa sasa.
Tusubiri na tuone muujiza mwingine wa filamu hizi.
Mwanahalisi waliandika habari za zito miaka sita iliyopita ,uwongo hujitenga ukweli unajiweka wazi baada ya Denis Msacky kuwa ndio target ujue Zitto, Ridhiwani January Makamba, Mwiguru Nchemba Nape Nauye,Jakaya Kikwete,Kinana wote lengo lao la mwisho ni kumti ndani Babu Slaa,na Kamanda wa anga Mbowe wakidhani watasimamisha M4C,kwa hiyo hata Ben akiwekwa ndani sawa tuu,ni enzi za kikwete hizi lakini zitapita kwa sababu sizani kama ataishi kuona miaka sabini roho yake mbaya sana na amewaumiza wengi wanaomwombea laana kwa mungu. nadhani Chadema secretariat wameshajiandaa sasa Kusweka ndani kwa raha za Kikwete