Mkurugenzi Kampeni na Uchaguzi CHADEMA kuunganishwa na Lwakatare?

hawana lolote gamba ni gamba tu lazima wangolewe

Ewe mungu muumba mbingu na vyote vilivyomo nakuomba uwape laana na adhabu kari wale wote waliomchagua bw.kikwete kuwa raisi wa nchi hii,na wenye ushirika naye,amepoteza sifa ya kuwa rais kwa kukiuka kiapo chake,aliapa akiwa ameshika quran takatifu ya kwamba atakuwa mwaminifu kwa umma huu,ya kwamba atatenda haki na daima kwa watz wote bila kujari rangi,kabira,chama wala dini ya mtu,aliapa ya kwamba atailinda na kuitetea katiba ya nchi na mwisho akaomba mungu nisaidie,naamini hakuna mungu wa haki atakaye mlinda ama kumsaidia mwongo,mwuuaji,mnafki na mwenye dhuruma kiasi hiki.
 
Ningekuwa mimi ni Slaa ningelinga sana na wala nisingetumia hii ID yangu bali ningetumia Verify User Name.

Yote kwa yote nipo Lumumba On and Off, japokuwa posho ya kukaa mtandaoni silipwi.
Acha uongo wa kitoto wewe.

Ninyi ndiyo mnaopiga kelele mkitaka siasa safi, wakati mabandiko yako karibia yote niya uogo tupu (siasa chafu)

Jaribu ku-revisit mabandiko yako kabla hujabandika jipya au jitahidi kutokuwa msahaurifu kwa kila unachokibandika hapa ili uongo wako uendelee kusimama kwa hao wajinga.

Utawaokota wajinga wachache wariobalikiwa fikra finyu.

Kwako neno LUMUMBA ndiyo tiketi ya kutaka kuwaaminisha watu kwa kila kile unachotema hapa JF. It's UNFORTUNATE kwa siasa za Tanzania
 
Kama kuna hoja za msingi tutazipokea kwani CHADEMA ni akina mbona kwenye uchaguzi wa CCM uliofanyika DODOMA SLAA aliitisha mkutano wa waandishi wa habari na kuuzungumzia ulikuwa unawahusu? Tukae kimya tuache mdomo ni zama za uwazi, Karibuni CCM tuko tayari kuwasikiliza hasa wale tunaoitambua Tanzania na siyo CCM wala CHADEMA

Dirty politics. Chama tawala mnaona kabisa hali ya wananchi inaenda vizuri? Watoto wamefeli, vijana hawana ajira, hospitali na zahanati hazina dawa, vituo vya polisi vichache, usafiri nauli juu, maisha magumu kwa ujumla. Badala ya kutatua kero hizi mnakiandama chama cha CHADEMA rudini kwa wananchi mrudisha imani kwa chama.
 
Acha uongo wa kitoto wewe.

Ninyi ndiyo mnaopiga kelele mkitaka siasa safi, wakati mabandiko yako karibia yote niya uogo tupu (siasa chafu)

Jaribu ku-revisit mabandiko yako kabla hujabandika jipya au jitahidi kutokuwa msahaurifu kwa kila unachokibandika hapa ili uongo wako uendelee kusimama kwa hao wajinga.

Utawaokota wajinga wachache wariobalikiwa fikra finyu.

Kwako neno LUMUMBA ndiyo tiketi ya kutaka kuwaaminisha watu kwa kila kile unachotema hapa JF. It's UNFORTUNATE kwa siasa za Tanzania
Sema upi ni uongo wangu hapa hapa JF?

Suala la kuwa Lumumba lipo wazi na kila kitu kinachofanyika hapa nina nafasi ya kukijua.

I used to there on and Off.
Kama unataka kunijua njoo hapa Lumumba hata leo unaweza kuonana ni mimi.

Siamini katika kufanya siasa chafu although i studied much on Propaganda which now adays havifanywi tena na CCM zaidi ya 'ushirikina wa Kisiasa' wanaoufanya.
 
Hapo kwenye bold - acha uongo wewe. mnakesha humu JF kazi yenu kuleta propaganda mnazotumwa na slaa. mtahaha sana kumsafisha lwakatare lakini mwisho wa siku sheria itachukua mkondo wake. Mkifanya madudu nyie CHADEMA mkikamatwa na polisi na kushtakiwa siku zote mmekuwa mkisema mnabambikiziwa kesi. kama unaona kesi ya lwakatare ni filamu basi nenda ukajiunge kwenye jopo la mawakili ili umtetee.shame on you!

Swahiba fuatilia post zangu na baada ya hapo linganisha na matukio ambayo yamekwishatokea ndio utajua kama ninasema uongo au laah sipo kwa ajili ya maslahi ya Chama chochote bali Tanzania
 
anatakiwa afike asipofika akamatwe bado ben na ishu ya jimbo la uzini,sumu ya zito,na post zake zenye kuonesha kufahamu suala la msaky vizur

Pole sana Mkuu.

Bernard ndiyo kiboko yako kwa kweli. Alimwaga ugali na mboga hadi na maji ya kunawa. Umebaki kuwayawaya tu humu JF na ID mpya kila uchao.

CC Ben Saanane Molemo
 
Last edited by a moderator:
Filamu ndiyo kwanza inaanza.jpg chadema.jpg
 
Mwanasiasa anayeandaliwa ni yule Mch. Mtikila na kesho ataitisha kikao na waandishi Hoteli ya Travetine Magomeni
Kama ni huyu, nilishawahi kukutana nae mahali, na aliongea vibaya kuhusu Chadema, Uso kwa Uso na Mtikila-
Katika pita pita zangu mchana wa leo jiji Dar es Salaam,
Nimekutana na Mwenyekiti wa Chama cha DP, Mchungaji Christopher Mtikila katika ofisi fulani, yeye kaja na yake, nami na yangu hivyo tukaa waiting room pamoja kumsubiria mwenyeji wetu.

Kwanza nilimuuliza kwa nini wapinzani hawaungani?.
Jamaa alishusha nondo nzito kwa kubonda wapinzani wote kuwa Tanzania, hakuna mpinzani yoyote isipokuwa ni yeye tuu!, tena kuhusu Chadema, ndio usiseme kabisa, eti ni afadhali ya CCM!. Alisema mengi kwa lugha kali na matukano kibao, huku akizungumza kwa sauti ya juu, ofisini kwa watu!.


 
Sisi hatuna cha kujua nani gaidi nan si gaidi ila tunachojua kuwa maCCM ni adui wa nchi yetu, Heri nchi tuwape hao mnaiwaita magaidi kuliko hawa maCCM mapumbavu yaliyoriharibu taifa letu.
 
Kama kuna hoja za msingi tutazipokea kwani CHADEMA ni akina mbona kwenye uchaguzi wa CCM uliofanyika DODOMA SLAA aliitisha mkutano wa waandishi wa habari na kuuzungumzia ulikuwa unawahusu? Tukae kimya tuache mdomo ni zama za uwazi, Karibuni CCM tuko tayari kuwasikiliza hasa wale tunaoitambua Tanzania na siyo CCM wala CHADEMA
Anapozama mtu mzima anataduta unyasi, na ukimkaribia mtakufa naye
 
Hizi ni habari za kweli, napenda kuthibitisha hilo hapa kama mdau wa.....

Memo ya mipango hiyo kutoka juu ilivuja jana jioni hapa Ofisi ndogo ya CCM Lumumba wakati inachakatwa kwenda idara nyeti za dola ikiwa na maelekezo yafuatayo;

1/Kuhakikisha Lwekatare hapewi dhamana leo iwe kwa gharama yoyote.

2/Wanasiasa mamluki(eg. Mtikila, Dovutwa, Tendwa nk) yajitokeze kuchochea moto.

3/Waandishe wa habari(TBC, Habari leo, Clauds Fm, Uhuru, Michuzi nk) watoe coverage kubwa kwa kila comment positive ya issue hii.

Mkuu kuhusu Mtikila ni kweli bana, kuna thread yake humo mods wameiondoa anaelezea mauaji yote yamefanywa na CDM na walianza cku nyingi, kaishambulia kamati kuu ya CDM ndo ilipanga mauaji ya Wangwe kwa mtumia Deus mallya na vjana4 wa kenya, i think keshapewa mpunga na Ccm ila yeye anadai ni uchunguzi wa chama chake cha DP
 
Maadui wakubwa wa Tanzania ni ujinga,umasikini na maradhi lakini adui mkubwa wa serikali ya sasa ni upinzani.
 
Mch. Mtikila hana impact yoyote kisiasa kwa sasahivi. Kwahiyo wao wampe huo mpunga tu ili akapige porojo za ''kana kwamba''!


Inashangaza kwani kaisha sahau wana Tarime walivompompoa mawe kwa issue ya Wangwe Chacha? Njaa mbaya sana aisee kama takubali kutumika tena!
 
Back
Top Bottom