Mkurugenzi Kampeni na Uchaguzi CHADEMA kuunganishwa na Lwakatare?

Liko wazi na linafahamika wanachofanya ccm na serikali yao.Lakn kamwe !! ! 2o15 chadema ndani,! Ukiona unasemwa sana ujue unakubalika"

Mtoeni LWAKATARE ninyi si mavuvuzela? kisha wachoma wengine huko, sikilizia kesho kisutu.
 
chadema wanatakiwa M4C ianze, kwa kuwasambaza BAVICHA kila kanda makao makuu wabaki magwiji tu kwa ajili ya master planning, execution ya master plan ifanywe na bavicha.Mh.Mbowe arudi HQ kwa ya planning and commanding.sasa kazi imeanza rasmi.Bahati nzuri vyombo vya habari vimeathiriwa na digitalism, kwa hiyo coverage of media has no significant effect

Baada ya kuona wamevujisha video ya LWAKATARE siyo? too late, sasa watanyea debe kwa kwenda mbele, bado SLAA.
 
Hebu mtu mwenye ufafanuzi asaidie. Hivi kwa mfano, polisi wakaendelea na hii kamata-kamata ya viongozi wa CHADEMA, wakawafungulia kesi za ugaidi, na hata baadae wakafanikiwa kuwafunga (hata safu nzima ya uongozi wa juu wa CHADEMA), nini kitatokea?

Kwamba, CHADEMA kitakosa wafuasi na hivyo kufa?
Au watanzania wote watakikubali CCM kwa hamasa kubwa?
Wananchi hawatakuwa na malalamiko tena kuhusu serikali ya CCM na hata mgogoro wa mabucha utaisha?

Sijaelewa!
 
Lazima wewe utakuwa SLAA tu, kazi yako ku-preempt vyombo vya dola, tulishakuzoea.
Ningekuwa mimi ni Slaa ningelinga sana na wala nisingetumia hii ID yangu bali ningetumia Verify User Name.

Yote kwa yote nipo Lumumba On and Off, japokuwa posho ya kukaa mtandaoni silipwi.
 
Hebu mtu mwenye ufafanuzi asaidie. Hivi kwa mfano, polisi wakaendelea na hii kamata-kamata ya viongozi wa CHADEMA, wakawafungulia kesi za ugaidi, na hata baadae wakafanikiwa kuwafunga (hata safu nzima ya uongozi wa juu wa CHADEMA), nini kitatokea?

Kwamba, CHADEMA kitakosa wafuasi na hivyo kufa?
Au watanzania wote watakikubali CCM kwa hamasa kubwa?
Wananchi hawatakuwa na malalamiko tena kuhusu serikali ya CCM na hata mgogoro wa mabucha utaisha?

Sijaelewa!

Magaidi hawataachwa waendelee kuteka watu kisa kuna watu wachache wanakubaliana na upotoshaji wa CDM. Wataendelea kusakwa popote saa zote mpaka nchi iwe na amani na kutawalika.
 
Taarifa za uhakika nilizozipata muda mfupi uliopita ni kwamba mkurugenzi wa Kmapeni na Uchaguzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Msafiri Mtemelwa, kesho saa tatu asubuhi ameambiwa afike kituo cha Polisi Central kwa ajili ya mahojiano.
Ingawa haijawekwa wazi ameitwa kwa ajili ya mahojiano ya namna gani ni djhahiri itakuwa ni juu ya sakata la mkanda unaomuonyesha lwaakatare akipanga njama zinazodaiwa kuwa za kihalifu.

wakati huo huo kuna mkakati mzito wa ndani ya Chama cha Mpainduzi unaoendelea kwa sasa kwa ajili ya kumrubuni mmoja wa wanasioasa nchini ili aitishe mkutano na waandishi wa habari kuelezea suala zima la kukamatwa Kwa Lwakatare, Madhumuni yakiwa ni kuonyesha kuwa CHADEMA inahusika na masula ya kigaidi.

CCM, Katika hili wanataka kujiweka pembeni bali huku maneno wanayotaka jamii ifahamu akiwa ameelekezewa huyo mwanasiasa wanayemuandaa kwa sasa.

Tusubiri na tuone muujiza mwingine wa filamu hizi.

Hii yote ni kujaribu kukimbia TAMKO LA MAASKOFU NA TAMKO LA Bi Hellen, mwaka huu shosti wetu analo, alilikoroga mwenyewe ccm, halafu kuna bajeti inakuja mwezi wa nne, mweizi mei maandamano, ya kumtoa pangoni kawamba bado M4C shosti bora kimbia
 
anatakiwa afike asipofika akamatwe bado ben na ishu ya jimbo la uzini,sumu ya zito,na post zake zenye kuonesha kufahamu suala la msaky vizur
Mwanahalisi waliandika habari za zito miaka sita iliyopita ,uwongo hujitenga ukweli unajiweka wazi baada ya Denis Msacky kuwa ndio target ujue Zitto, Ridhiwani January Makamba, Mwiguru Nchemba Nape Nauye,Jakaya Kikwete,Kinana wote lengo lao la mwisho ni kumti ndani Babu Slaa,na Kamanda wa anga Mbowe wakidhani watasimamisha M4C,kwa hiyo hata Ben akiwekwa ndani sawa tuu,ni enzi za kikwete hizi lakini zitapita kwa sababu sizani kama ataishi kuona miaka sabini roho yake mbaya sana na amewaumiza wengi wanaomwombea laana kwa mungu. nadhani Chadema secretariat wameshajiandaa sasa Kusweka ndani kwa raha za Kikwete
 
watanzania wa leo siyo wale wa mwaka 1961, wanaelewa kila kitu ccm na polisi wao wote watafia mbali 2015
Mungu mkubwa sana na kamwe hawezi kuwaacha watu wake, kawaonesha watanzania kuwa heri CCM mara 70 kuliko hawa wanaokesha majukwaani kwa porojo kumbe wataka madaraka kwa kuwateka watu, Hongera CCM mungu kawapigania
 
Taarifa za uhakika nilizozipata muda mfupi uliopita ni kwamba mkurugenzi wa Kmapeni na Uchaguzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Msafiri Mtemelwa, kesho saa tatu asubuhi ameambiwa afike kituo cha Polisi Central kwa ajili ya mahojiano.
Ingawa haijawekwa wazi ameitwa kwa ajili ya mahojiano ya namna gani ni djhahiri itakuwa ni juu ya sakata la mkanda unaomuonyesha lwaakatare akipanga njama zinazodaiwa kuwa za kihalifu.

wakati huo huo kuna mkakati mzito wa ndani ya Chama cha Mpainduzi unaoendelea kwa sasa kwa ajili ya kumrubuni mmoja wa wanasioasa nchini ili aitishe mkutano na waandishi wa habari kuelezea suala zima la kukamatwa Kwa Lwakatare, Madhumuni yakiwa ni kuonyesha kuwa CHADEMA inahusika na masula ya kigaidi.

CCM, Katika hili wanataka kujiweka pembeni bali huku maneno wanayotaka jamii ifahamu akiwa ameelekezewa huyo mwanasiasa wanayemuandaa kwa sasa.

Tusubiri na tuone muujiza mwingine wa filamu hizi.

Hapo kwenye bold - acha uongo wewe. mnakesha humu JF kazi yenu kuleta propaganda mnazotumwa na slaa. mtahaha sana kumsafisha lwakatare lakini mwisho wa siku sheria itachukua mkondo wake. Mkifanya madudu nyie CHADEMA mkikamatwa na polisi na kushtakiwa siku zote mmekuwa mkisema mnabambikiziwa kesi. kama unaona kesi ya lwakatare ni filamu basi nenda ukajiunge kwenye jopo la mawakili ili umtetee.shame on you!
 
Mwanahalisi waliandika habari za zito miaka sita iliyopita ,uwongo hujitenga ukweli unajiweka wazi baada ya Denis Msacky kuwa ndio target ujue Zitto, Ridhiwani January Makamba, Mwiguru Nchemba Nape Nauye,Jakaya Kikwete,Kinana wote lengo lao la mwisho ni kumti ndani Babu Slaa,na Kamanda wa anga Mbowe wakidhani watasimamisha M4C,kwa hiyo hata Ben akiwekwa ndani sawa tuu,ni enzi za kikwete hizi lakini zitapita kwa sababu sizani kama ataishi kuona miaka sabini roho yake mbaya sana na amewaumiza wengi wanaomwombea laana kwa mungu. nadhani Chadema secretariat wameshajiandaa sasa Kusweka ndani kwa raha za Kikwete

Na bado mtatajana sana tu, ehe baada ya ben anafuata nani? wanapanga mission za kitoto kweli hawa CDM , sasa wanalalamika nini? muulizeni LISSU kashinda chooni masaa mawili akikwepa sakata la LWAKATARE
 
Hivi gaidi ni mtu wa namna gani, anayepanga kumwekea mwenzake sumu ama yule anayechoma nyumba za ibada na kuua viongozi wa dini? Wa kuua viongozi wa dini na kuchoma makanisa wao wanaleyewa FBI kana kwamba nyoka wa IGP wameshindwa kazi. Wao wanaweza za kuwekeana sumu. Vipi yule aliyemwekea mwakembe alikimbilia bara gani?
 
Hivi gaidi ni mtu wa namna gani, anayepanga kumwekea mwenzake sumu ama yule anayechoma nyumba za ibada na kuua viongozi wa dini? Wa kuua viongozi wa dini na kuchoma makanisa wao wanaletewa FBI kana kwamba nyoka wa IGP wameshindwa kazi. Wao wanaweza za kuwekeana sumu. Vipi yule aliyemwekea mwakembe alikimbilia bara gani?
 
Jamani ningetaka niseme hivi: VITA HII SIO YA CHADEMA KAMA CHAMA, ni vita ya kuua mawazo yoote ya ukombozi, mawazo na dhamira ambazo zinapiga vita ufisadi, wizi na ushenzi wa kila aina unaoendelea nchi mwetu.

Kama wakifanikiwa kutuliza watu, watakuwa wameua nguvu ya kuokoa maisha ya wengi.

Wakati hizi sarakasi zikiendelea, tusipotezeane malengo!
 
Back
Top Bottom