Hiyo ndio CCM. Ukute anapewa pesa kwa ajili ya shamba boyInakuwaje mkurugenzi kuajili katoto chini ya miaka 18?
Ajabu.Hiyo ndio CCM. Ukute anapewa pesa kwa ajili ya shamba boy
Mpishi na dobi. Yeye anaajiri katoto primary school dropout, isitoshe anakafanya nyumba ndogo bila malipo.
Mani kitobo kimemponza, ofisini ukimkuta bonge la muheshimiwa,bosi mkurugenzi kitambi meneja
Mwanamke mjinga huyu,sasa atakula nini,kafanya maamuzi akiwa na hasira ila baada ya hasira kumuisha atajuta sana.uhusiano wa kimapenzi na binti huyo, jambo lililobainika baada ya mkewe kugundua.
Pia soma: Rais Samia atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, Kassim Seif Ndumbo
Sio 16 tena sasa imefika 18 mara hii? Mboni yule X Mayor alisema ni miaka 16?anayedaiwa kuwa na umri chini ya miaka 18.
Na kisha aendelee Kula mafao ya familia peke yake,Wanawake ni wa kuishi nao Kwa akili.
Kwahiyo mke ameamuwa kumaliza Mume wake ili akae jobless au aende jela, so sad.
Mke tayari ana bwana anayemsumbuwa akili, anataka Jamaa afungwe ili akammanulie Kwa uhuru.Shida ipo kwa mke wake. Mambo ya nyumbani yaishe nyumban tu. Wanawake wanatakiwa kuwa na Siri. Siri za ndani ziishie ndani. Jamaa akifungwa mke hakuna faida yoyote anapata
Halafu boda wamkunjeWanawake ni wa kuishi nao Kwa akili.
Kwahiyo mke ameamuwa kumaliza Mume wake ili akae jobless au aende jela, so sad.
Yani huyu ni shetani kabisa, hata kama tunaichukia CCM siwezi kuunga mkono huu upuuzi wa huyu mwanamke.Na kisha aendelee Kula mafao ya familia peke yake,
Hao ndio wateja wakubwa wa energy drink.Halafu boda wamkunje
Alibaka mke akiwa wapiWote mnaomlaumu mke hamna akili. Mkurugenzi alikua anabaka acheni kutetea ujinga yasije warudia mabinti zenu
Wanaokwenda Jela SIO wote wana hatiaMani kitobo kimemponza, ofisini ukimkuta bonge la muheshimiwa,bosi mkurugenzi kitambi meneja
Kwahiyo mke wewe uko tayari kuangamiza familia yako Kwa excuse hii.Wote mnaomlaumu mke hamna akili. Mkurugenzi alikua anabaka acheni kutetea ujinga yasije warudia mabinti zenu