Mkuu naomba nitofautiane nawe kwani kwenye zoezi la kunyolewa huwezi kulinganisha UTAMU wake na kukunwa!! Kunyoa ni kwa ajili ya mtazamiko wa njee (Outlook). Raha yake ni kujisikia/kujihisi/kujiona uko smart. Kukunwa ni tofauti maana kuna kuwa na muwasho....Raha ya kukidhiwa haja ya kuwa smart (kunyoa) haiko katika mizani sawa na kuondoa muwasho