regam
JF-Expert Member
- Jan 4, 2011
- 269
- 52
MWANDISHI: Wewe unawalisha ng'ombe
chakula gani?,
MKULIMA: Ng'ombe yupi Mweupe au
Mweusi?
MWANDISHI: Ng'ombe mweupe
MKULIMA: Ninamlisha nyasi na viguta vya
mahindi,
MWANDISHI: Na mweusi??
MKULIMA: vilevile nyasi na viguta vya mahindi,
MWANDISHI: ahaa sawa,na sehemu ya kulala ni wapi?
MKULIMA: Ng'ombe yupi mweupe au
mweusi?
MWANDISHI: Mweupeee!!!
MKULIMA: Mweupe ninamlaza bomani kulee,
MWANDISHI: na mweusi?
MKULIMA: vilevile ninamlaza na mwenziwe!!!!
MWANDISHI: Hii sehemu yote majumba
mengi,Na
wakienda kulisha unafanyaje?
MKULIMA: Yupi mweupe au mweusi?
MWANDISHI: Woooteeee!!!! {kwa hasira}
MKULIMA: Mweupe nina mfunga kamba na
kumzungusha malishoni na kumrudisha,
MWANDISHI: na mweusi vilevile?
MKULIMA: Mweusi?,mweusi ninamfunga
kamba na kuzunguka nae kama mwenziwe!!!
MWANDISHI: Kwanini kila mara nikikuuliza
huduma za ng'ombe zako unaniuliza mweupe au mweusi halafu inatokea kuwa kazi zao wote ni sawa?????,
MKULIMA: Kwasababu Ng'ombe mweupe ni
wangu,
MWANDISHI: Na mweusi?
MKULIMA: Ni wangu vilevile!!!!!!... UNAHISI KWA NINI MKULIMA ALIKUWA HIVI??
NA JE WEWE UNGEKUWA MWANDISHI SWALI GANI LINGEFUATA HAPA.?????