Mnhh ipashe basi
Nyani Ngabu kwanini humfundishi binti kisura kiswahili mi nimeona hapo tu lol
Nyani Ngabu kwanini humfundishi binti kisura kiswahili mi nimeona hapo tu lol
Anajua cha kuombea maji...'shikamoo baba', 'mambo', 'habari'.......
miss neddy vip? mboni warudia rudia
nipashe nini?
Si hiyo ambayo kwako sio baridi
hahaaaaaaaa haya bwana!
hahahaha itabidi umlete Tzd aanze kusoma a e i o u mpaka ajue kucharaza kiswahili lol
Unacheka...
kukupenda nakupenda kwelii aah sikatai, uwepo wako nimzurii maishanii nafurahi!
Naona hata wewe unaupenda eeh....
Nimlete mara ngapi sasa.....
Wanajua hawa vijana na wakiendelea hivi wanaweza kuwafunika kabisa hawa kina kitorondo"Tuwape support"