Mkubwa na Wanawe - Ya Moto

bunited

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2014
Posts
815
Reaction score
216
Jamani mwenye link ya wimbo wa aslay na beka uitwao YA MOTO naomba aniwekee niudownload.

 
Last edited by a moderator:
Hii ngoma naipenda sana kwa kweli. Hao madogo wana vipaji haswa.

Dogo Aslay kaiua hiyo aya ya kwanza.

Beka naye kaitendea haki kabisa hiyo aya ya pili.

Maromboso naye kafanya kweli.

Halafu hako kabinti kalikovaa spandex na kikaptula cha jeans juu yake nimetokea kukapenda. Yaani kanavyonengua..aaah.

Yaani wimbo umetulia kuanzia mashairi, mpangilio wa ala, hadi dance routine.

Kisura wangu ingawa haelewi wanachoimba lakini anaipenda sana hiyo choreography.


Kukupenda, imekuwa kero
Kutwa kucha kunitenda, mi mwana wa mwenzio

Nachofanya mi sikioni, ila masikio yanasikia wee
Nachofanya mi sikioni, ila masikio yanasikia wee

Kupenda na kupenda kweli, ah sikatai
Uwepo wako ni mzuri, maishani nafurahi
Kupenda na kupenda kweli, ah sikatai
Uwepo wako ni mzuri, maishani nafurahi

Ila ya moto, ya moto mapenzi
Mapenzi ya kitoto, ya kitoto mie siwezi
Ila ya moto, ya moto mapenzi
Mapenzi ya kitoto, ya kitoto mie siwezi
 
Last edited by a moderator:
hata mimi naipenda sana! yamotoo yamotoo mapenzii!
 
Halafu kuna mdada hapo kuanzia dakika ya 2:14 hadi 2:19.... The Boss....
 
Last edited by a moderator:
kumbe watambuzi wa vitu vizuri tupo wengi
 
hutaki mi niende kazini unataka tulaleee!
 
ninao hapa nausikiliza kila saa

na nikipata mapesaaa twende kwenye starehee ila ni ya motoo mapenzi
mapenzi ya kitoto siwezi mamaaa maaa eee
 
Na ukiweka headphone unakua mzuri zaidi ule mdundo
 
Hiyo ngoma imetulia bana.

Top notch production, top notch everything.

Hivi haikushinda hata tuzo moja ya Kili?

Imetoka mwaka huu so nadhani inaweza kuwa nominated kwenye tuzo za mwakani!! If am not mistaken
 
Nyani Ngabu kwanini humfundishi binti kisura kiswahili mi nimeona hapo tu lol
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…