BIG BROTHER ALEX
JF-Expert Member
- Sep 24, 2025
- 1,293
- 2,214
Timu kataa NDOA, mmhhh haya, jamaa yetu anapiganiwa na mkewe, WAKUU NDOA SIO mbaya, SHIDA huanza unapo kosea kuchagua, HAPO NDO tatizo linapo tutafina vijana wengi, wkuangalia matrako, rangi, ujanja, uzuri nk, MKE WA fella kqnifurahisha SANA jinsi anvo pambana mumewe arudi barabarani kuendelea na shughuli zake za kila SIKU.
Mama HUYO pia anakumbana na CHANGQMOTO za hapa na pale, jambo lililo muibua, nakurusha lawama KWA baadhi ya MARAFIKI wa mumewe kuwa, WAMEMTENGA hawamjuli hali Sasa.
Mama HUYO amemtaja mbosso kama mmoja wa WATU pekee wanaojitolea KWA hali na Mali KWA said fella Sasa, HUKU akiwananga WENGINE kujikausha inasemekana diamond alimpeleka India kutibiwa lakini NAE Sasa kafunga vioo, kauli ambayo imepingwa vikali na WATU wakidai MSAADA WA MTU SI lazima HIVO SI busara kumlazimisha MTU ajitolee kupita UWEZO wake HIVO mama HUYO asinge paswa kujitokeza na kurusha lawama kiasi hicho kwani madhara ni makubwa kuliko faida. Nadhani mama HUYO ameangalia nafasi ya mondi KWA mumewe kabla ya kupata mtihani huo.
Kwa WASIOmjua said fella, alikuwa ni MENEJA WA DIAMOND, ni MTU MWENYE MICHANGO MKUBWA SANA, kwenye carrier ya mondi akiwa na babu tale, pia walisimamia vijana WENGINE kama ya moto band, kundi la muziki kipindi hicho akiwemo, mbosso, beka flavour, aslay, enock bella, wasanii WENGINE temba na chege, madee nk, pia alikua diwani kupitia ccm, akiipambania mbagala KWA jasho na hali.
Mpaka Sasa ugonjwa unaomsumbua haujulikani, ila tuendele kumuombea, MWENYEZI MUNGU amsimamie, MZEE WETU, AMINA