cleokippo
JF-Expert Member
- Dec 21, 2014
- 2,072
- 1,697
Habari zenu wana nzengo
Mimi si mwanachama wa chama chochote kile cha siasa na wala sio mwana siasa
Nimeandika kama Mtanzania mzalendo mwenye mapenzi ya dhati na nchi yangu
Siku zote waswahili wanasema usipende kukaa na dukuduku moyon hivyo bas dukuduku langu nimetafuta sehemi ya kulitolea
Humu jukwaan kulikuwa na vihio wengi sana waliokuwa wakimsifia sana mama yetu kuwa anaupiga mwingi, cha ajabu leo hii nashangaa sana kuona vihio hao wameshapoteana ma hii ni kutokana na picha kubwa wanayoiona hivi sasa.
Ukweli ni kusema jaman, kwa sasa haka ka nchi kanapitia kipindi kigumu sana, yaan uku mitaan hali ni tete
Bila shaka hawa tunaowaita bora viongoz wanajua kila kitu kinachoendelea uku mitaani ila wanajifanya wamevaa earphone & pod masikion mwao
Umeme tabu, maji tabu, afya hamna kitu, mfumko wa bei ndio usiseme.
Sasa hiv uku kwetu kg 1 ya sukar ni 4500 sasa hii nchi inakwenda wapi?
Sasa hv hata yale mabandiko ya kumlashifu mwenda zake yaliyokuwa yakiandikwa kila kukicha mitandaon hatuyaon maana yake wale waliokuwa wakipingana na falsafa zake wameanza kumkubal
Watanzania wamekuwa watu wa kulalamika tu kila siku lakiz viongozi wapo kimyaaaaaa.
Ifikia wakati watanzania tuamke tuache upompopo ni wakati wa kufanya mabadiliko sasa vinginevyo hii nchi inapoelekea inaenda ku fail absolutely.
Since jiwe a pass, sijaone changes zozote za uyu mama alizozifanya zaid ya kukata tu mitaa mara leo yupo uku mara yupo kule uku akiacha watanzania tunapiga ving'ora life linazid kuwa gumu.
Mitaani shughuli zoooote za kiuchumi mnazozijua zimesimama kutokana ma migao ya umeme na maji, halafu litakuja lijitu kutuambia uchum umekua kwa asilimia kadhaa"
2025 ndugu zangu sio mbali sana japo mwenyezi mungu akilenda tutafika tukiwa tumechoma sana ila ni wakati wetu wa kufanya jambo