covid 19
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 4,935
- 10,801
Wakuu habari zenu
Nina uhitaji wa mkopo wa haraka ili niweze kufanikisha biashara yangu na nisipoteze watena hivyo ninahuitaji wa haraka wa mkopo kiasi cha milioni 1.4 au 1.5 (milioni moja na nusu)
Muda wa kurejesha ni ndani ya siku 14 yaani nusu mwezi kitu cha kukaa kama dhamani ni pikipiki aina ya tvs pamoja na kadi yake.
Mwenye msaada au anayeweza kusaidia hili tuwasiliane kwa namba 0769 055050.
Asante.
Update:
1-01-2023
wakuu habari zenu tena na heri ya mwaka mpya .
Nilileta uzi wa kuomba mkopo wa haraka kwa ajili ya kukamilisha oda za biashara.
Nashukuru kuna wadau walinipa ushauri na michango mbalimbali na baadhi nimefanyia kazi na mashukuru sio haba.
Niliongea na baadui ya wateja wangu watoe advance na kweli wawili walitoa advance so huitaji wamkopo sasa umepungua.
Kiasi kinachohitajika sasa ni laki 9 ili nikamilishe kabisa oda zao na nichukue oda mpya nimeogopa kuchukua oda nyingine nimeona kama ninateseka sana kuokoteza mtaji na biashara bado haijasimama vizuri.
Mwenye kuweza kunikopesha hiyo laki 9 tafadhali karibu tuyajenge ni dharura.