Miliki Kiwanja/Shamba kwa mkopo bila masharti yoyote wala riba na ulipe taratbu ndani ya miez12 zaid

cutebrown

Member
Feb 23, 2016
69
40
Pia jipatie ujenzi wa nyumba kwa mkopo wa riba ndogo ya 14% na ulipe tartbu hadi miaka miwili na zaidi.
*HABARI NJEMA*
VKP (Real Estate) Company (yenye usajili no. *299964*) iliopo mbezi beach tang bovu ina huduma zifuatazo;
kukopesha mashamba na viwanja kwa bei nafuu bila riba wala dhamana;
miradi ya ujenzi
Upimaji wa Ardhi.

Mashamba yako bagamoyo (fukayosi) 15km kutoka barabara kuu
Kuna plots zipo kigamboni na bagamoyo pia.

*ULIPAJI*
mkopo miez 12 mwezi wa kwanza unalipa 25% then 10% kwa miezi 4, then iliobaki unalipa 5% kwa miez 7...
MASHAMBA yetu yanauzwa kwa sh mil 1.6 kwa eka 1
Eg. Shamba mil.1.6 mwez wa kwanza utalipa 25% nautakabidhiwa shamba lako umbapo utaruhusiwa kulima au kufanya shughuli za shamba alafu pesa Inayofuata- 10% kwa miezi 4, then utalipa 5% mpk mwez wa mwsho.
VIWANJA vimepimwa na kukatwa kwa square meter.
a) *Kigamboni*- makazi 1sqm = 10,000
Makazi na biashara =10,660 ukivuka mapinga

B)Eneo lipo
Kata :kerege
Mtaa:tumbo
Umbari:km 9 kutoka barabara kuu ya lami hadi baharini
-6 km kutoka barabara kuu ya rami hadi mradi
-3 km kutoka katika mradi hadi baharini
-sqm 1 ni tsh 15,000/=
-maji ya dawasa yapo
-makazi yapo, miradi mingine ipo inafanyika
C) *Ujenzi* wa nyumba za aina zote na za kisasa kwa mkopo wa miezi 12(mwaka mmoja), gharama zetu ni nafuu sana........!
Utalipa 25% ya gharama zote na hyo 75% iliyobaki itagawanywa ktk miezi 11 iliyobaki ambapo utalipa 10%miez 4 na 5% kwa miez 7 iliobaki ili kukamilisha mwaka mzima.

*MILIKI ARDHI KUANZIA TSH MILLIONI 2 NA KUENDELEA*
*EPUKA UNUNUZI WA VIWANJA/MASHAMBA KWA MADALALI*

*MAWASILIANO ZAIDI:*
+255(0)612183055
+255(0)757783401
 
Zina hatimiliki hizi shamba na kama ndio, umiliki wa kiasi cha shamba litakalo nunuliwa na mteja, je process ya kukatiwa hilo eneo pamoja na kubadilisha umiliki itatangulia hiyo muda ya kulipa huo mkopo au inakuwaje?

Pia hizo mashamba yana maji?

Asante
 
Nitawatafuta , hayo mashamba yamepanda bei si yalikua 1m!?
Ndio Ivo yamepanda bei,siunajua ardhi samani yake hupanda kila iitwapo Leo. Nibora kuwah mapema. Mfano tulio wauzia mashamba kwa mil1 au lak8 mwaka Jana mwez WA pili mwaka huu wameyauza kwa milion 3 kwa eka.na yameisha.
 
Zina hatimiliki hizi shamba na kama ndio, umiliki wa kiasi cha shamba litakalo nunuliwa na mteja, je process ya kukatiwa hilo eneo pamoja na kubadilisha umiliki itatangulia hiyo muda ya kulipa huo mkopo au inakuwaje?

Pia hizo mashamba yana maji?

Asante
mashamba yanahati ya mkurabita,endapo mteja atachukua eneo wakat anaendelea kulipia tayali process yakubadirisha umilik inaanza.na Mara nyingi hukamilika nda ya miez miwili inakua tayali
 
Ndio Ivo yamepanda bei,siunajua ardhi samani yake hupanda kila iitwapo Leo. Nibora kuwah mapema. Mfano tulio wauzia mashamba kwa mil1 au lak8 mwaka Jana mwez WA pili mwaka huu wameyauza kwa milion 3 kwa eka.na yameisha.
Ninahitaji vya bagamoyo, hofu yangu kuna wavamizi na matapeli mengi bagamoyo
 
Back
Top Bottom