BulamboTz
Senior Member
- Aug 28, 2016
- 120
- 134
Lipo DSM,Wilaya ya Ilala,Kata ya Msongola,Eneo la Mvuti,lipo KM 2 Kutoka Barabara ya Chanika Mbagala,halijapimwa,lipo kando ya Barabara ya Mvuti Dondwe,lipo karibu na Sekondari ya Mvuti na Magereza ya Dondwe,lipo karibu na Nguzo za umeme,.Atakayefanikisha kumpata Mnunuzi atapata MILIONI 10,Mawasiliano 0655 562 854+0768 784 640