Wakuu, mimi nilichaguliwa chuo cha MUCE lakini cha kushangaza nimepewa 25,000/= na sisi ni maskini wa kutupwa, nifanyeje,
(Usinitus Tafadhari)
Kama ulidhani watu humu watakuunga mkono, ndio kwanza anayeonekana mjinga ni weweKuna watu wengine wana akili fupi kama wewe mtoa post, sasa hapo unatuambia ili iwaje? tukusaidie nini? huu ni umaskini wa akili.
Acheni wehu nyinyi mnashindwa mshauri mpka muanze kumuambia maneno ya kipuuzi namna hii hivi watz tumekuwaje na ni nan aliyeturoga mtu ashasema hana uwezo wa kulipa hicho kiasi kilichobaki mnaanza muongezea maumivu kwa maneno ya hovyo tubadilike
Ni USD 25,000? au TSH 25,000?
Kama ulidhani watu humu watakuunga mkono, ndio kwanza anayeonekana mjinga ni wewe
kaka wewe nenda shule kama mdau lweye hapo juu alivyosema bana matumizi nenda kasome hayo mambo mengine achana nayo kuna watu wamekosa mkopo kabisa wanasugua kitaa huku
Hebu nieleweshe..wanaposema umepewa hiyo 25,000 ndo inamaanisha nini?
Mkuu ni TSH25000
jembe tupo pamoja ika plz uaikate tamaa kuna MTU kapewa fee buku4 tuu. uskate kaza jembe nakuombra kwa Mungu mm nami nilitoka mazingira magumu sana mwaka huu ila nimejiangalia mwenendo wangu nimejiwekabsawa kwa Mungu nimetubu dhambi zangu atleast na amani moyoni japo me sio kamilifu. muombe Mungu na hakika yatakutupa amino nakwambia.
nipo rucu kaka Karibu.
Wakuu, mimi nilichaguliwa chuo cha MUCE lakini cha kushangaza nimepewa 25,000/= na sisi ni maskini wa kutupwa, nifanyeje,
(Usinitus Tafadhari)
jembe tupo pamoja ika plz uaikate tamaa kuna MTU kapewa fee buku4 tuu. uskate kaza jembe nakuombra kwa Mungu mm nami nilitoka mazingira magumu sana mwaka huu ila nimejiangalia mwenendo wangu nimejiwekabsawa kwa Mungu nimetubu dhambi zangu atleast na amani moyoni japo me sio kamilifu. muombe Mungu na hakika yatakutupa amino nakwambia.
nipo rucu kaka Karibu.
Mkuu hiyo ni kweli ama unachangamsha kijiwe?
Manake katika 1000000/=wamenichangia 25000/=
Wakati wewe unalia viatu vyako havikutoshi kuna wenzako wanalia hawana hata ndala.
Ukishindwa kushukuru kwa kidogo ulichopewa hata upewe kikubwa vipi utakiona ni kikubwa