BETWEL JACKSON
Senior Member
- Sep 19, 2015
- 117
- 7
- Thread starter
- #61
huo mkopo hata kw mtu wa veta fundi cherehani haumtoshi.pole jembe nenda mjin kafuatilie acha kulia lia
Aksante
huo mkopo hata kw mtu wa veta fundi cherehani haumtoshi.pole jembe nenda mjin kafuatilie acha kulia lia
Kafanyie biashara ya supu sasa.
mi kila siku huwa nasema! jf ina watu wameharibikia ukubwani! you can't come over here unaanza kumkebehi mtu. i wish jf ingekuwa na kuoneshana real identities kama fb am telling u wengi ni wakaa vijiweni ndo maana elf 25 wanaiona kubwa sana kwa chuo! grow up nyie huko juu mliocomment ujinga
Mkuu utasoma tu vizuri. Mimi najua wewe unayo solution. Just sit down and think
Wakuu, mimi nilichaguliwa chuo cha MUCE lakini cha kushangaza nimepewa 25,000/= na sisi ni maskini wa kutupwa, nifanyeje,
(Usinitus Tafadhari)
Wenzako hawana ham sifuri....bora wewe una boom la kukuweka town na kununua smat foni!!
Mkuu mi nahisi hiyo ni 2500000 na sio 25000 embu angalia vizuri
Kama ulisoma private hasa o level kausha ni haki yako
Ndugu kwa muce hiyo itakusaidia cha kufanya jalibu kubajeti hela ya kujikimu ili ulipe chuo km ada
kwa hiyo kwenye wale elfu 48 na ww umo???
Ndiyo,nimeongeza idadi ya waliopata mikopo
Hongera!!#HapaKaziTu,hebu cheki na bodi,huenda kuna makosa ya kiutendaji.Kama wapo sahihi naungana na aliyekushauri kuwa ukanunue kreti la bia,utakapolimaliza utakuwa na akili mpya.