BETWEL JACKSON
Senior Member
- Sep 19, 2015
- 117
- 7
- Thread starter
- #101
Dunia uwanja wa fujo....lets be serious simetimes....pole kijana
Nisha Poa Ndugu.
Dunia uwanja wa fujo....lets be serious simetimes....pole kijana
Nenda kasome kaka usikate tamaa. Meals and accommodation utapewa sawa na mwenye asilimia 100. Then bana matumizi yako utasoma tu hadi unamaliza. Usikate tamaa
Hiyo 1mil. ni ya nini? ndo ada na malazi na kila kitu au?
Hongera kwa kupata mkopo japo unauona na mdogo.
Mie nakusauli ufanya yafuatayo:- Kwa kuwa huo unaouita mkopo wa 25,000/- ni sehemu ya ada tu lakini mambo mengine kama accomodation, meal allowance na special faculty allowance vyote unapata kwa ukamilifu wake, basi hakikikisha unasave kutoka kwenye hayo mafungu kisha unajilipia ada na pengine unaweza kuwasaidia ata na wadogo zako wengine. Sie tunaotoka kwenye familia masikini na tunafahamu tulipotoka ndivyo tulivyokuwa tunafanya. Mie niliweza kumsomesha mdogo wangu sekondari ya binafsi kwa kufanya hivyo. Lakini wewe ukitaka kununua simu ya touch screen, TV, Fridge na kujirusha utadisco ata kabla shule haijaanza.
Nimekupa uzoefu wangu, kazi ni kwako!
Pole sana Mtanzania mwenzangu kama hii ni ya kweli basi inasikitisha beyond measures the government has failed you missarably. Ushauri uchnguzi wengine wamepata nini na mjaribu kufanya maandamano ya kupinga kilichotokea. Mnaweza kufanya hivyo kwa kujaribu kupata msaada kutoka kwa wanafunzi waliopo chuoni kusaidi kupinga yaliyowajili. Wingereza wanafunzi wa vyuo vikuu waliandama kupigania haki ya wanafunzi wa college kwa sababu serikali ilitangaza kukata posho zao za kila wiki ?30 saw a na takribani elfu 90 tsh. Pole sana huu ni Ushauri Wangu tu. Wizara ya elimu ni Ikulu nadhani mnapajua na jambo lingine Watanzania tuache kuogopa mapolisi hususani kwenye mumbo ya msingi kama haya Umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu. Wakipiga wanafunzi the world is watching they would be no aid for us.
Huyu jamaa kakushauri pouwa sana. Fanya hayo.
Unaposikia mkopo alimia fulani ni just ada, mambo mengine unapata kama wenzio... Na chuoni ni kula na kulala ndio ishu saaana... Kwahiyo shukuru kwa hicho kaka.