Unataka tukusaidieje labda?!
Hongera kwa kupata mkopo japo unauona na mdogo.
Mie nakusauli ufanya yafuatayo:- Kwa kuwa huo unaouita mkopo wa 25,000/- ni sehemu ya ada tu lakini mambo mengine kama accomodation, meal allowance na special faculty allowance vyote unapata kwa ukamilifu wake, basi hakikikisha unasave kutoka kwenye hayo mafungu kisha unajilipia ada na pengine unaweza kuwasaidia ata na wadogo zako wengine. Sie tunaotoka kwenye familia masikini na tunafahamu tulipotoka ndivyo tulivyokuwa tunafanya. Mie niliweza kumsomesha mdogo wangu sekondari ya binafsi kwa kufanya hivyo. Lakini wewe ukitaka kununua simu ya touch screen, TV, Fridge na kujirusha utadisco ata kabla shule haijaanza.
Nimekupa uzoefu wangu, kazi ni kwako!
Kuna watu wengine wana akili fupi kama wewe mtoa post, sasa hapo unatuambia ili iwaje? tukusaidie nini? huu ni umaskini wa akili.
ila kwa kusema alipie ada kutoka kwenye boom ataishi maisha magumu sana kwa sasa unaeza kuta ada ni 1500000 embu niambie anaigawa vipi iyo pesa hapo mpka ije ilipe hilo den
Hongera kwa kupata mkopo japo unauona na mdogo.
Mie nakusauli ufanya yafuatayo:- Kwa kuwa huo unaouita mkopo wa 25,000/- ni sehemu ya ada tu lakini mambo mengine kama accomodation, meal allowance na special faculty allowance vyote unapata kwa ukamilifu wake, basi hakikikisha unasave kutoka kwenye hayo mafungu kisha unajilipia ada na pengine unaweza kuwasaidia ata na wadogo zako wengine. Sie tunaotoka kwenye familia masikini na tunafahamu tulipotoka ndivyo tulivyokuwa tunafanya. Mie niliweza kumsomesha mdogo wangu sekondari ya binafsi kwa kufanya hivyo. Lakini wewe ukitaka kununua simu ya touch screen, TV, Fridge na kujirusha utadisco ata kabla shule haijaanza.
Nimekupa uzoefu wangu, kazi ni kwako!
Mkuu! Kama kweli anatoka kwenye familia masikini na anamaanisha hivyo! Basi tayali anaishi maisha magumu tena bila ata kuwa na huo mkopo! sasa itakuwaje akipata mkopo maisha yawe magumu kuliko aliyonayo sasa!!!??? Mie nimejaribu kumpa long term solution kwa sababu nafahamu uwezekano wa kuappeal na akafanikiwa ni mdogo sana ukizingatia kuna ambao hawakupata kitu kabisa. Any way, ulichotoa wewe na nilichotoa mie vyote ni ushauri tu, kwa hiyo anazo option mbili, kazi ni kwake kuchagua the best option au kuchanganya zote mbili.
Unataka tukusaidieje labda?!
Kuna watu wengine wana akili fupi kama wewe mtoa post, sasa hapo unatuambia ili iwaje? tukusaidie nini? huu ni umaskini wa akili.
Hata kama kwnu una maisha mazuri,lakin si vema kuwadhihak wasio nacho..!
SHAME UPON YOU
Acheni wehu nyinyi mnashindwa mshauri mpka muanze kumuambia maneno ya kipuuzi namna hii hivi watz tumekuwaje na ni nan aliyeturoga mtu ashasema hana uwezo wa kulipa hicho kiasi kilichobaki mnaanza muongezea maumivu kwa maneno ya hovyo tubadilike
teh teh teh teh
Nilisema jana, let's not celebrate kuhusu hii mikopo ya HELSB. Utaambiwa wote walioomba wamepewa mikopo ila ndio unakuta madudu kama haya. Kwanini isitoe mikopo kwa mahitaji yote ya mtu?
Siasa mbaya sana. Nakataa kushangilia kuwa vijana asilimia 90 wamepewa mkopo mpaka nijue wamepewa nini.
Kijana pole sana.