Mkoba wa uchawi unavyomtesa mume wangu

Mkoba wa uchawi unavyomtesa mume wangu

Nikiwa na umri wa miaka 19 nilikabithiwa na bibi mzaa mama mkoba wa uchawi. Bila kuukataa niliupokea kwa kuaminishwa ungenisaidia ningeweza kufaulu na kufanya vyema kielimu, kwani ilikuwa ni kiu yangu kubwa pale kijijini.

Kweli nilipoupokea baada ya muda niliona matokeo mazuri katika elimu na kweli hatimye nilifika hadi chuo na kupata Ajira taasisi kubwa nchini.

Nikiwa ofisini na tena mjini maisha mazuri,baada ya mwaka nilipata mwanaume akaniona na nikamzalia watoto wawili. Lakini hivi navyozungumza nimeshaacha kazi yangu kwa kufuata maelekezo ya mkoba.

Kwangu hainiumi bali kwa mume wangu ndio inaniuma, kila siku ziendazo anazidi kufirisika, anazidi kudhoofu afya yake na hata kazi ameshasimamishwa na ndugu zake wamemtenga, wakiamini yeye ameendekeza mapenzi kwangu haambiliki pasipo wao kujua, sio akili yake bali ni mkoba wangu.

Sharti ni yeye na mimi tuwe wote waganga, mimi nilikubali na kuacha kazi yangu niliyoajiriwa ila mume wangu hayupo tayari kuwa saidia wangu.

Imefika kipindi hata nguvu za kiume ni tatizo, pesa imekuwa ngumu na watoto shule za gharama tumeshindwa kuwalipia.

Natamani kumuokoa mume wangu na watoto wangu, ila sharti la suluhu ni mimi labda kufa. Natamani kwenda kujikabithi kwa Mola ila naogopa kuumbuka kwa heshima yangu jamii itanionaje.

Na mmmuhumba
0624 440 454
Tiktok mmmmuhumba

Namba ya simu ya nini
 
Kwa hyo mume wako na yeye ni mwanaume kama ww au nachanganya habari
Duh, kikubwa ni uelewa wa mada, mi ni mwandishi wa makala za mahusiano, ujumbe kwa mpenzi( love sms) na mshauri katika mahusiano. Kwahiyo, hii ni mada nilimetaka kupokea mawazo yenu juu ya kutatua hili.
 
Asante nmeelewa kabisa kabisa kabisa.
 
He he he, waandae uwapige wajinga
Iyo ni imani yako, ukiwa na shida juu mahusiano ama lolote katika maisha ndio utaona umuhimu wa binadamu mwenzio, mimi nafanya ujasiriamali kupitia mitandao na magazeti .
Kwahiyo tumia fursa Ndugu Gfav na ukipenda karibu tiktok@mmmuhumba.
Hiyo namba ipo kwa ajili ya kunifikia wanaonijua nafanya nini.
 
NANUKUU

Mganga wa kweli atakutibu ili upone ndo akufaidi zaidi kwa shukrani na zawadi na uaminifu wako kwake na ndio faida ya uganga wa kweli.

Mbona wewe unataka ulipwe kabla hata huyo mganga hajasaidia kitu? Kama kweli ni connection ya uhakika, fanya majaribio kwa watu watatu bure tuone mrejesho.
 
Nikiwa na umri wa miaka 19 nilikabithiwa na bibi mzaa mama mkoba wa uchawi. Bila kuukataa niliupokea kwa kuaminishwa ungenisaidia ningeweza kufaulu na kufanya vyema kielimu, kwani ilikuwa ni kiu yangu kubwa pale kijijini.

Kweli nilipoupokea baada ya muda niliona matokeo mazuri katika elimu na kweli hatimye nilifika hadi chuo na kupata Ajira taasisi kubwa nchini.

Nikiwa ofisini na tena mjini maisha mazuri,baada ya mwaka nilipata mwanaume akaniona na nikamzalia watoto wawili. Lakini hivi navyozungumza nimeshaacha kazi yangu kwa kufuata maelekezo ya mkoba.

Kwangu hainiumi bali kwa mume wangu ndio inaniuma, kila siku ziendazo anazidi kufirisika, anazidi kudhoofu afya yake na hata kazi ameshasimamishwa na ndugu zake wamemtenga, wakiamini yeye ameendekeza mapenzi kwangu haambiliki pasipo wao kujua, sio akili yake bali ni mkoba wangu.

Sharti ni yeye na mimi tuwe wote waganga, mimi nilikubali na kuacha kazi yangu niliyoajiriwa ila mume wangu hayupo tayari kuwa saidia wangu.

Imefika kipindi hata nguvu za kiume ni tatizo, pesa imekuwa ngumu na watoto shule za gharama tumeshindwa kuwalipia.

Natamani kumuokoa mume wangu na watoto wangu, ila sharti la suluhu ni mimi labda kufa. Natamani kwenda kujikabithi kwa Mola ila naogopa kuumbuka kwa heshima yangu jamii itanionaje.

Na mmmuhumba
0624 440 454
Tiktok mmmmuhumba
Kweli dunia ngumu upo tayari kuharibu maisha yako kwa kigezo tu cha jamii itakuonaje? Nenda kwa kiongozi qowote wa dini unakosali mweleze na kabidhi hato madubwasha hakuna chochote kitachokupata.
Nina rafiki yangu walizaliwa wawili mama mama yake alitakiwa kubeba mikoba kutoka kwa bibi yake ya uganga,,mama wa rafiki yangu alikataa baadae akaanza kuteseka sana aliumwa kila wakienda hospitali hawaoni ugonjwa. Alichofanya akapokea ile mikoba alivyopokea akapona. Baada ya hapo akaibeba na kuipeleka kanisani kwa mchungaji alikokuwa anasali akamweleza akaikabidhi . Mchungaji akaipiga fire,,basi adhabu aliyopata haluweza kuzaa tena. Lkn akasema bora kuliko kuishi na mavitu yatayotesa watoto wangu.

Hadi leo huyo mama yupo. Kwa hiyo ni maamuzi yako.Ufate masharti na hata usipofata hayalo madude yatatafuna familia yote ni suala na muda tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikiwa na umri wa miaka 19 nilikabithiwa na bibi mzaa mama mkoba wa uchawi. Bila kuukataa niliupokea kwa kuaminishwa ungenisaidia ningeweza kufaulu na kufanya vyema kielimu, kwani ilikuwa ni kiu yangu kubwa pale kijijini.

Kweli nilipoupokea baada ya muda niliona matokeo mazuri katika elimu na kweli hatimye nilifika hadi chuo na kupata Ajira taasisi kubwa nchini.

Nikiwa ofisini na tena mjini maisha mazuri,baada ya mwaka nilipata mwanaume akaniona na nikamzalia watoto wawili. Lakini hivi navyozungumza nimeshaacha kazi yangu kwa kufuata maelekezo ya mkoba.

Kwangu hainiumi bali kwa mume wangu ndio inaniuma, kila siku ziendazo anazidi kufirisika, anazidi kudhoofu afya yake na hata kazi ameshasimamishwa na ndugu zake wamemtenga, wakiamini yeye ameendekeza mapenzi kwangu haambiliki pasipo wao kujua, sio akili yake bali ni mkoba wangu.

Sharti ni yeye na mimi tuwe wote waganga, mimi nilikubali na kuacha kazi yangu niliyoajiriwa ila mume wangu hayupo tayari kuwa saidia wangu.

Imefika kipindi hata nguvu za kiume ni tatizo, pesa imekuwa ngumu na watoto shule za gharama tumeshindwa kuwalipia.

Natamani kumuokoa mume wangu na watoto wangu, ila sharti la suluhu ni mimi labda kufa. Natamani kwenda kujikabithi kwa Mola ila naogopa kuumbuka kwa heshima yangu jamii itanionaje.

Na mmmuhumba
0624 440 454
Tiktok mmmmuhumba
Njoo inbox dm nikusaidie
 
Back
Top Bottom