Nikiwa na umri wa miaka 19 nilikabithiwa na bibi mzaa mama mkoba wa uchawi. Bila kuukataa niliupokea kwa kuaminishwa
Tiktok mmmmuhumba
Sawa bro mmmuhumbaaaHuu ni mkasa wa mtu
Ushauri wako muhimu Msukuma!! Miss youuuuu!!Kazi ipo!
🤣🤣🤣🤣😁😁😁😁Kwani mkoba unaonekanaje , ukoje ni chungu, begi au hirizi samahani lakini
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]umenifanya nirudi kuangalia avatarHuyo kwa Avatar ni wewe au ni huyo mume wako?
Na anezalishwa watoto wawiliBrother kumbe una mume
Namba ni ya nini sasaNikiwa na umri wa miaka 19 nilikabithiwa na bibi mzaa mama mkoba wa uchawi. Bila kuukataa niliupokea kwa kuaminishwa ungenisaidia ningeweza kufaulu na kufanya vyema kielimu, kwani ilikuwa ni kiu yangu kubwa pale kijijini.
Kweli nilipoupokea baada ya muda niliona matokeo mazuri katika elimu na kweli hatimye nilifika hadi chuo na kupata Ajira taasisi kubwa nchini.
Nikiwa ofisini na tena mjini maisha mazuri,baada ya mwaka nilipata mwanaume akaniona na nikamzalia watoto wawili. Lakini hivi navyozungumza nimeshaacha kazi yangu kwa kufuata maelekezo ya mkoba.
Kwangu hainiumi bali kwa mume wangu ndio inaniuma, kila siku ziendazo anazidi kufirisika, anazidi kudhoofu afya yake na hata kazi ameshasimamishwa na ndugu zake wamemtenga, wakiamini yeye ameendekeza mapenzi kwangu haambiliki pasipo wao kujua, sio akili yake bali ni mkoba wangu.
Sharti ni yeye na mimi tuwe wote waganga, mimi nilikubali na kuacha kazi yangu niliyoajiriwa ila mume wangu hayupo tayari kuwa saidia wangu.
Imefika kipindi hata nguvu za kiume ni tatizo, pesa imekuwa ngumu na watoto shule za gharama tumeshindwa kuwalipia.
Natamani kumuokoa mume wangu na watoto wangu, ila sharti la suluhu ni mimi labda kufa. Natamani kwenda kujikabithi kwa Mola ila naogopa kuumbuka kwa heshima yangu jamii itanionaje.
Na mmmuhumba
0624 440 454
Tiktok mmmmuhumba
Kwahiyo unatoa siri za wateja wako?Uko sahihi. Ila kubwa ni binadamu tuna mikasa mingi, napokutana na mtu au mtu anapiga simu na kueleza jambo kama hili ni zito na jepesi kumshauri kwa kufuata imani. Ila linagharimu maisha ya mtu, mambo mengine yanatisha.
Kwa hyo mume wako na yeye ni mwanaume kama ww au nachanganya habariNikiwa na umri wa miaka 19 nilikabithiwa na bibi mzaa mama mkoba wa uchawi. Bila kuukataa niliupokea kwa kuaminishwa ungenisaidia ningeweza kufaulu na kufanya vyema kielimu, kwani ilikuwa ni kiu yangu kubwa pale kijijini.
Kweli nilipoupokea baada ya muda niliona matokeo mazuri katika elimu na kweli hatimye nilifika hadi chuo na kupata Ajira taasisi kubwa nchini.
Nikiwa ofisini na tena mjini maisha mazuri,baada ya mwaka nilipata mwanaume akaniona na nikamzalia watoto wawili. Lakini hivi navyozungumza nimeshaacha kazi yangu kwa kufuata maelekezo ya mkoba.
Kwangu hainiumi bali kwa mume wangu ndio inaniuma, kila siku ziendazo anazidi kufirisika, anazidi kudhoofu afya yake na hata kazi ameshasimamishwa na ndugu zake wamemtenga, wakiamini yeye ameendekeza mapenzi kwangu haambiliki pasipo wao kujua, sio akili yake bali ni mkoba wangu.
Sharti ni yeye na mimi tuwe wote waganga, mimi nilikubali na kuacha kazi yangu niliyoajiriwa ila mume wangu hayupo tayari kuwa saidia wangu.
Imefika kipindi hata nguvu za kiume ni tatizo, pesa imekuwa ngumu na watoto shule za gharama tumeshindwa kuwalipia.
Natamani kumuokoa mume wangu na watoto wangu, ila sharti la suluhu ni mimi labda kufa. Natamani kwenda kujikabithi kwa Mola ila naogopa kuumbuka kwa heshima yangu jamii itanionaje.
Na mmmuhumba
0624 440 454
Tiktok mmmmuhumba
Hapana, hakuna sehemu iliyomtaja mhusika. Kuliweka hapa kwa mtu kama wewe unawazo shauri, kwangu ni moja ya strategic nayoitumia kudili na vitu vya imani. Hapa nimepata data za kutosha.Kwahiyo unatoa siri za wateja wako?