Mkoa wa Lindi: Historia na Taarifa Muhimu

Mkoa wa Lindi: Historia na Taarifa Muhimu

Tanroad ya Mtwara inajitahidi sana maana barabara ya Nachingwea - Masasi ipo chini ya Tanroad za mikoa.Tanroad ya kila mkoa ingeweza kujenga km 1 kila mwaka kwa kila mkoa kwahyo barabara ya Nach-Masasi ingesaidia kwa hii njia.

Yeah ila ukiangalia mkoa wa Mtwara wamejitahidi hadi pale Lukuledi Lindi bado wakati ile barabara ingekuwa muhimu sana
 
Wazo zuri sana na mabadiliko huanza kwa kila mtu then familia ukoo ujumuiya mpaka taifa.. kuliko kusubiri muujiza au serikali hata kwa mambo binafsi

Yaah!! Nimejifunza huu utamaduni kutoka kwa wenzetu Wachaga, hata uwe na mahekalu mia mikoa mingine lakini kama hujajenga kwenu wanakuona wewe ni takataka na huna akili kabisaa!!

So, ni kuhamasishana tu! Mabadiliko tutaanza kuyaleta sisi wenyewe wengine watajazia palipopungua. Na ukifika kule ni kujenga / kufanya kitu cha kisasa kabisa ili wazawa wa pale waweze kuiga na ndiyo mwanzo wa maendeleo
 
Kwa nino Lindi haikuwa kwenye harakati za pamoja na Mtwara kudai gesi inufaishe mikoa ya kusini kwanza?? Mkiitwa wasaliti, je mna hoja ya maana ya kujitetea kuwa Lindi hawakuwa wasaliti wa harakati??

Mtwara huwa wanawachekaga lindi, nijuavyo wakati wa mkapa hata veta ya kindi ilihamishiwa mtwara!
 
Asante
samaki nchanga bila shaka umemaanisha panya.. Kiukweli kabila linalosifika kwa ulaji wa panya ni wamakua.. Hata mimi ni mmakua ila sili panya... Ila asilimia.kubwa ya wamakua hula panya.. Wamakua wanapatikana kwa wingi wilaya ya masasi.mkoa wa mtwara.. Hata hivyo kwa kuwa wamakua wamesambaa pia ktk mkoa wa.lindi hasa ktk wilaya jiran ya Nachingwea.. Panya wanaliwa tena kwa.wingi sana na makabila karibu yote ikiwemo wamwera na wamakonde.... Kuhisi ming,'oko pia inachimbwa na kuliwa kwa wingi tena wengine hufanya kama zao la biashara

hatari, nilidhani ni utani! sijawahi kuamini kweli panya analika huko kusini mwa nchi yetu.
 
Ndugu yangu nitakujibu swali lako mwanzo hadi mwisho

1. mkoa wa lindi kama ilivyo mikoa mingine ya pwani imetawaliwa na imani za uislam.. Ambpo kuoa ni jambo rahisi na kutoa talaka hakuna anayekuzuia... Hivyo vijana wanaoa wanapojisikia huoa wakiamini wakichoka wataacha.. Sina nia ya kuudharau uislam ila ndo hali halisi... Pia mporomoko wa maadili unaochangiwa na kukua kwa utandawazi na umaskini unachangia hali hyo
2. Tatizo hili lipo mikoa yote.. Shida y huku kwetu si rahisi kutoa mimba wengi wanaogopa na mila na imani za kidini zinaogopesha linapokuja suala la kutoa mimba.. Tofauti na mikoa kama Arusha ambao kitakwimu unaongoza kwa matukio ya abortion yaliyoripotiwa... Ila haya YOTE YANACHANGIWA KWA KUKOSEKANA KWA ELIMU BORA YA UZAZI.. PIA TAMAA INAYOCHANGIWA NA UMASKINI
3. Pia inatokana na ugumu wa maisha hivy o mwanamke anaamua kujisitiri kwa mwanaume matokeo yake akipata mimba anapigwa chini
KUHUSU NDOA ZA MAPEMA... KTK MILA.ZA KIISLAM NI JAMBO LA KAWAIDA HATA MSICHANA WA MIAKA 15 HUOLEWA.. kama nilivyosema ndoa za kiislam ni za garama.nafuu mno na kuachana hakuna kikwazo
4. ukweli ulio wazi ubnafsi wa viongoz kwa kutaka kujinufaisha wao tu bila kutekeleza kwa uzalendo yale waliyoahid wananch yanachangia umaskini kwa kiasi kikubwa.. Tuna safari ndefu ya kuwabadili viongozi wetu kifikra iki kuwafanya wajisikie uchungu kuona jamii inateseka ili wao hawatoi mchango wowote japo wana uwezo wa kufanya hivyo

Kwa kuwa umekiri mwenyewe kuwa kwa namna moja ama nyengine UISLAM umeidumaza jamii ya wana lindi kwa maana ya HESHIMA YA NDOA, utakubaliana nami sasa kuwa kudumaa huko kumewapelekea wanalindi kuwa na sifa ya kutamani tu!!!!!!! sifa ya kupenda inazidi kutoweka kwa kasi ya ajabu, utakubaliana nami kuwa kwa sasa ni kosa la kujutia kuwekeza "upendo" Lindi!!!!!?
 
Lindi zamani ikiitwa Paris, nadhani kwa sababu ya mpangilio mzuri wa mji na beach zake tamu kuziangalia. Lakini tangu wakati huo mji umedumaa sana. Idadi ya watu haiongezeki kwa kasi wakati basi lolote linalotoka Dar au kuelekea Dar kutoka kusini( ondoa wilaya ya Kilwa na Liwale) lazima lipite mji wa Lindi hivyo ingetarajiwa pawe pamechangamka kwelikweli. Lakini kinyume chake pamedumaa sana. Kwa fursa zilizopo haikupaswa iwe vile!
 
kiukweli naomba niseme sijawahi kufika NGENDE.. ILA IPO WILAYA YA liwale.

Kuna waganga wa kienyeji na hata mizimu ipo japo sijawahi kushuhudia..

Kuhusu utajiri wa ngende ni sawa tu na utajiri mwingine unaotokana na imni za kishirikina kama upo tayari nenda liwale utapewa maelekezo.

ILA INASEMEKANA ILI KUFIKA NGENDE UNAKUTANA NA VIKWAZO KIMSINGI VINAWEZA KUKUFANYA URUDIE NJIANI AU USIRUDI KABISA NA USIFIKE UNAKOTAKA.

Nadhani nimekujibu vema

Naomba uelezee kirefu juu ya hili. Sababu hata mimi nalisikia sana. Nasikia kuna bibi ana jicho moja. Mara majoka ya ajabu. Kwa nini unaweza usifike ni mbali sana? Ni pori? Hebu njoo utujuze
 
Madukwapa kaka naomba unipe namba yako ili nikutafute nataka Kulima ufuta Mwaka huu
 
Kwa nini huu mkoa umekuwa maskini sana?
 
Unataka ujibiwe mara ngapi. Umeshaambiwa panya na ming'oko inaliwa. Binafsi ni mkazi red soil na kula panya.
 
Nimezaliwa na kukua Lindi.. Nikasoma ktk mkoa huu mpk kidato cha nne
karibuni kwa swali lolote linalohusu mkoa huu mkongwe......
NB: mji wa lindi zamani sana ulikuwa unaitwa kwa jina la utani la paris kutokana na kuwa mji mashuhuri nchini tangu enzi za waarabu kulinganisha na mji wowote Tanzania



Mkewe Kikwete anatoka wapi na ni kweli anakula panya? Hivi Ni kweli wanawake wa kule ni wazuri kwa sura kulinganisha na mikoa mingine?
 
Nataka kulima Ufuta Mkoa wa Lindi. Ktk azma hiyo nina maswali yafuatayo
1) Ni wilaya/ eneo gani ambako unastawi vizuri sana
2)Ktk eneo hilo linalo stawisha UFUTA vizuri Shamba linapatikana ktk Mfumo gani yani wanauza au kukodisha
3)Swali (2)Lahusika. Kwa heka ni shilingi ngapi
 
tafadhali rejea majibu ya maswali ya nyuma.. Nimejibu yote

kuhusu jando na unyago mila hzi bado zipo si kwa wasichana tu hata kwa wavulana.. Kwa uoande wavulana kipindi cha jnyago wanakaa jandoni mbapo kwa kawaida inakuwa porini.. Wanakaa kama kambi mara baada ya kutahiriwa.. Wanakaa huko kwa mda wa mwezi mmoja wanafindishwa masuala mbalimbali ikiwemo maadili mema na jinsi ya kuishi na watu..

Kwa upande wa wanwake pia wanwekwa kambi ndani kwa mda wa mwezi mmoja nao wanfundishwa mambo mbalimbali yanayomhusu msichana.. Ikiwemo maadili mika na desturi.. Mapishi na wajibu wake kama msichana kwa jamii anayoishi nayo..

ANGALIZO: HATUKEKETI WASICHANA.. HAKUNA FGM HUKU TAFADHALI.

Mkuu nasikia wadada wa kwenu wataalamu sana kitandani ndo hayo mafunzo ya mwezi mmoja porini? Ndo wale pia hutoa sauti kubwa sana wakati wa majambozi?
 
Umeulizwa bado mnakula chamaki nchanga na ming'oko? We unajibu mambo ya uvuvi, toa jibu la chamaki nchanga.
Soma kwanza kabla hujaongea huna horojoka mipovu, ameshajibu swali.
 
Back
Top Bottom