Mkoa wa Lindi: Historia na Taarifa Muhimu

Mkoa wa Lindi: Historia na Taarifa Muhimu

Umeulizwa bado mnakula chamaki nchanga na ming'oko? We unajibu mambo ya uvuvi, toa jibu la chamaki nchanga.
Ngoja nimsaidie kujibu mkuu Lindi chamaki mchanga hawali ila ming'oko wanatumia sana na wanadai pia ni dawa hasa kwa wamaume ingawa hamna utafiti uliofanyika.Hao chamaki mchanga wanaliwa sana mkoa wa mtwara especially wilaya ya masasi.
 
Mimi naishi na kufanya kazi Lindi mwaka wa sita sasa, huu mkoa bado unachangamoto nyingi sana kuanzia elimu, maji na umeme. Pia wakazi wake ni watu flani hivi hawataki kubadilika ukifika siku ya kwanza utashangaa vijana wanashinda kwenye vijiwe vya boda boda, pool tables na vibaraza vya majumba ni wavuvi wa kuanya kazi na akina dada ndo hivyo tena.
 
Mkuu umezaliwa wilaya gani Lindi.. nataka tufahamiane nami ni wa Lindi
 
Hapana mkuu kuna kioande kimoja kinasumbua sana hakina lami km 15 nyamwage.. Ni pachafu mno hasa msimu wa mvua.. Naamini lami ikiwa mwanzo mwisho ni mwendo wa masaa 5
Bro, hadi leo hicho kipande hakijatengenezwa tu??
 
Back
Top Bottom