ROBERT MICHAEL
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 5,054
- 2,872
Serikali ingefanya vyovyote ijuavyo kuinganisha barabara ya Masasi-Nachingwea kwa lami kufanya urahisi wa usafirishaji wa mazao kingine wangeunganisha barabara ya Nach-Nanganga kwa lami ingekuwa urahisi wa usafirishaji wa mazao maana kwa Lindi wilaya zilimazo sana ni Nachingwea,Liwale na Ruangwa.Hiko ni kilio chetu cha mda mrefu kiukweli barabara ya nachingwea liwale ni kero ya mda mrefu.. Mpk sasa serikali inatupiga danadana tu na hatujui hatim yake kama unavyojua watawala wa nchi yetu walivyojaa maneno kuliko vitendo ila nimesikia upo mpango wa kuweka lami masasi~nachingwea~liwale