Mkoa upi wa Tanzania wenye wasichana wazuri?

Mkuu mabinti wa kichagga wapo makini sana kwenye swala la ndoa mkuu ukichumbia demu wa kichagga lazima utaoa tu wanajua kukamata wanaume wajanja sana kama wewe wazo lako lilikuwa kupiga na kusepa aaah utabanwa mpaka unatangaza ndoa kabisa.... nafikiri uchagani binti akiolewa kwa ndoa inaleta heshima sana....unajua hata binti akizaa nje lakini akimpata mwanaume aaah mzee atambana mpaka jamaa anatangaza ndoa ni wajanja sana kwa maswala ya mahusiano lakini sijui kwenye kuhandle ndoa zao alafu na maswala yetu yaleeeeeeeeee huko mmmmh.

heheheheh...Fidel80 ayo masuala yetu yaache kama yalivo watoto wasiamke....

Lakini kama ulivosema uchagani ndoa ni muhimu sana sana, wazee naona siku hizi wanapenda kwlei tripu za kuja Dar kwenye harusi.

Ulishahudhuria moja ukaona wanavozuga kwenye zawadi?
 
cjapata kuckia mmh! mi naona wanawake wa kinyaturu ndani ya Singida ndo noma zaidi, idara zote ni A, Mabinti wa kitanga si lolote but they are NGONO ORIENTED, Si wa kuwekwa ndani ka wake, wapo kwa ajili ya LEISURE, thats why people huwasifu kwa nyimbo na mapambio, it came a time kila demu unanock kwake atasema, mie natoka Tangaa! coz dey ar MARKETABLE, Japo mi naona ni upuuzi tu, wamewalevya sifa.
 
Jamani mbona hamwasemi wasicha wa Musoma au wao wanajeshi tu!!!!au ndo wale wamerithi Kenya kuwapiga wame zao???
 
cjapata kuckia mmh! mi naona wanawake wa kinyaturu ndani ya Singida ndo noma zaidi, idara zote ni A, Mabinti wa kitanga si lolote but they are NGONO ORIENTED, Si wa kuwekwa ndani ka wake, wapo kwa ajili ya LEISURE, thats why people huwasifu kwa nyimbo na mapambio, it came a time kila demu unanock kwake atasema, mie natoka Tangaa! coz dey ar MARKETABLE, Japo mi naona ni upuuzi tu, wamewalevya sifa.
Wacheni utani wasichana wa Kinyantuzu kutoka Bariadi wako makini.
 
Inawezekana mada sijaielewa vizuri ila napenda kupata ufafanuzi kuwa je msichana mzuri ni yupi? Je uzuri wa kitu unakitolea jibu ukishakionja au kwa kukitazama tu? Kma ni tunda unakula kwanza halafu unatoa kauli kama ni tamu au vipi. Wana JF naomba tafsiri sahihi ndio tuangalie Mkoa gani wenye wazuri.
 
Mkuu Boney E. M.,, hapa tukitafura tafsiri 'sahihi' hatutaipata kamwe...uzuri wa kitu upo machoni pa akitatazamaye, na utamu upo kwa yule anayeonja, kizuri changu si kzuri chako, and vice versa.

Sasa basi hapa tunatumia tu socially accepted narratives, ndio unaona tukielewana na kupingana hapa na pale, lakinisi sio katika 'usahihi' huo ambao ungependa kuuzungumzia.

Kwa mfano,, tumezungumzia mabinti wa kitanga kuwa wanajua mapenzi, hii ni belief tu na haina maana ni wote au wengine hawajui, mara wachagga wana miguu 'chelewa' haina maana kuwa wote wako ivo au wengine hawana.

So take it easy mkuu twende mbele
 
Light travels faster than sound. This is why some people appear bright until you hear them speak.

Sasa hapa hii nanihii yako ina-apply....lakini hapo mwisho badilisha from speak to write.
respect....
 
Uzuri wa Wanawake wa Kilimanjaro- siyo waswahili- ni tija kwa watoto kusoma na pia maendeleo ya familia! Pia ni hardworking!

Pia akina dada Wanyakusa, Wahaya na hata Wasukuma ni poa ktk maendeleo ya familia kiuchumi pia!

Sijuia hata mimi naona akina dada toka Moshi ni deal wanaanza kuwa na soko kubwa zaidi siku hizi!
 
Uzuri ni kutegemea mhusika anapendelea nini?ni umbo gani linalomvutia,wengine mwanya,kiuno,meno nk.hivyo kila Mkoa kwa maana hiyo ina warembo,ila kama ni kwa vigezo vya akina Lundenga,mtueleze ni Mikoa ipi inatoa warembo kila mwaka.
 
mh! mnajuaje haya yote? na vipi mkowa wenye wanaume wazuri? wanawake tuchangie hoja wapi kuna wanawake wazuri. Nafikiri msoma maana wanaume wameenda hewani hakuna andunje kule, mwanaume akiwa mfupi nae anachekesha.

Msinielewa vibaya ni mchango tu jamani.
 
Uzuri wa Wanawake wa Kilimanjaro- siyo waswahili- ni tija kwa watoto kusoma na pia maendeleo ya familia! Pia ni hardworking!........
Sijuia hata mimi naona akina dada toka Moshi ni deal wanaanza kuwa na soko kubwa zaidi siku hizi!

Unahamia kwenye familia yao..kidogo kidogo..mwisho unajikuta unasahau na hata kujisahau kama una ndugu wa damu kabsaa kabsaa aisee. Yaani mwanaume ndio unakuwa umeolewa, sio kuoa wala kuoana.

Kingine huwezi kwenda kuoa huko kama huna mshiko. Familia nzima inakutathamini kwanza kama unakuwa na manufaa au utakuwa mzigo kwa familia. Na kama ni mzigo, je unabebeka?
 
mh! mnajuaje haya yote? na vipi mkowa wenye wanaume wazuri? wanawake tuchangie hoja wapi kuna wanawake wazuri. Nafikiri msoma maana wanaume wameenda hewani hakuna andunje kule, mwanaume akiwa mfupi nae anachekesha.

Msinielewa vibaya ni mchango tu jamani.

duh....sijui wanaume wafupi wamewakosea nini jamani....
 
Ni vitoto ambavyo havijaenda shule havijui hata kuoga.

hahaha utakuwa umesilimuwa wewe? Ila nakubali kuwa Tanga hawako bomba ila majamboz ndo yamekaa safi....kwenye figure na reception hakuna marks kutoka kwangu ila vituziii nawapa 100 kwa mia.

Sijajua ukweni (zenji) kuna nani ila kwa mahaba tu nimekubali....tatizo ni figure hakuna, reception nakubali kidogo kwa upande wa mixer ya waarabu na wabantu mengine naziba mdogo nisikose mke bure.
 
...wahangaza hao babu :D!

...mkoa wa manyara vimwana manywele, tatizo zile chale mashavuni!

All in all, kipenda roho tu, maana kuna wengine bila binti wa kingazija hujamwambia kitu...:D

GT huyoo!
 
Back
Top Bottom