Mkoa upi wa Tanzania wenye wasichana wazuri?

Hmmm! Mimi nadhani ni moa wa Singida ndiyo unaongoza kuwa na Warembo wengi. Haya muanzishe na thread nyingine kuhusu mkoa wenye wanaume handsome ;)...just thinking aloud.
 
Uonyeshwe ufundi wa kushesha amaizi, wenzetu akina kaizer anaelewa. uwe tayari Belinda umeshaambiwa utafundishwa
 
Kweli bado tupo nyuma sana,wakati wenzetu wakifanya bidii kuangalia uwezekano wa kuishi mwezini,sisi bado tunadiscuss wasichana wazuri.We should change guys,hatuna muda huo,,,,,,tuna mambo ya msingi na maana zaidi kuliko hili la mabinti
 
Kibs vipi sijaona choice zako....

acha zako wewe kazi na dawa........
 
Chimo yeye katembelea mikoa yote. Jamani naomba kuuliza swali. Hivi wanaume wanapenda nini sana toka kwa wanawake? hasa unapochagua mchumba? Nafikiri tunatofautina sana kila kitu.
1:Wezere 40kg

2:kaenda hewani sekunde

3:rangi ya chokolate

4:Lips saafi kwa mambo yale kule...

5:kiuno dondola na asie na kitambi

6:Mewata ya wastani

7:sauti nyembamba sio kibesi

8:Awe na pozi....aringe

9:etc etc etc
 
Uonyeshwe ufundi wa kushesha amaizi, wenzetu akina kaizer anaelewa. uwe tayari Belinda umeshaambiwa utafundishwa

Mmh! JF kazi kweli kweli toka mkoa wenye wasichana wazuri mpaka mafunzo, ha ha..
Kumbe na wewe ni toka huko huko!..Masa na Kaizer wamenichekesha sana..
Naona mkoa wangu haujatajwa,sijui hawajaona kweli:)
 
Jamani kuna wanyamwezi kutoka Tabora, hawa usiwapimie ni wazuri wa sura,warefu wa kutosha wanamaumbo ya kufa mtu. Kwa makea ndio usiseme

...makea ndio nini? kulima?
 
Kibs vipi sijaona choice zako....

acha zako wewe kazi na dawa........

Shem kuna maslahi ya taifa kweli hapa!! Jana nilikuwa nafatilia posts zako jamaa wakawa wanazilamba zote eti unahusisha majina ya watu....anyway ameshtukiwa na hata watoto wa chekechea!
 
Hapana niyinyi mmefika Bukoba mkawaona wadada????

.. yaani mguu na mkono vimelingana kwa unene? Halafu mrefu..yaani kama wewe mwanaume haujui hata kutamani ukienda Bkb nakuambia utatamani tu! Na siku hizi naskia ukimwi kule naskia umepungua!

Halafu ngozi laini na meno meupe?

...kama umepungua ni habari njema hiyo!

Mkuu vp kule ukweni machame,marangu,kibosho ........hahaha mamiss wote wanatoka kule lakini hawa juu unamwona kajazia safiiii lakini chini sasa mguu ni chelewa.

...mnawaonea jamani wanaouzunguka ule mlima!

Ni ukweli kuna msemo unaosema uzuri upo machoni kwa mtu. Lakini kuna uzuri mwingine upo machoni kwa kila mtu, yaani ni mzuri.
Jamani hata MBEYA kule kwa wanakyusa, wasafwa n.k kuna wazuri

...mnh, na walivyo na majiguvu, yanini kudundwa bure na mkeo!?
 
Mmh! JF kazi kweli kweli toka mkoa wenye wasichana wazuri mpaka mafunzo, ha ha..
Kumbe na wewe ni toka huko huko!..Masa na Kaizer wamenichekesha sana..
Naona mkoa wangu haujatajwa,sijui hawajaona kweli:)

...utaje tu BelindaJacob tuwachambue hapa...
 
Shem kuna maslahi ya taifa kweli hapa!! Jana nilikuwa nafatilia posts zako jamaa wakawa wanazilamba zote eti unahusisha majina ya watu....anyway ameshtukiwa na hata watoto wa chekechea!
maslahi ya taifa mbele shem.......tehe tehe nimeona leo afande kazilamba zkaibia zoote na kaifungilia mbali thread.......hata mie kilaza nilimng'amua mbunge mtarajiwa.....na akienda kutoa sera zake za kujua watu JF huko jimboni kwake atapata kura za mzee JSM na mama KM pekee.....
 
Nimesoma kuanzia moja mpaka hapa kwa kweli huenda rafiki aliyenitambulisha waBukoba ni mwalimu aliehitimu, ila kuna sehemu za Arusha nilikuwa natokea Murutunguru nikakatisha Mara na kuivamia Serengeti kama sikosei ,tukikatisha katikati ya mbuga za wanyama na kupitia Manyara na kushukia Arusha Moshi ,kuna sehemu tulilala ,hapa nimesahau jina lake lakini niliona watu wake ni weupe kabisa nilipowaulizia nikaambiwa wanajulikana kama kabila la wairaqi ila vichwa vyao ni vidogo ukilinganisha na mwili karibu wote wamejazia ni wazuri wa sura ,ila JF sasa nimepata mtihani wa kwenda kutembelea Bukoba ,Tanga hovyo kutwa wasichana utawakuta wamevaa kanga kishingo ,lazima nitafute mwenyeji wa Bukoba. Yaani jamaa wamesifu Bukoba mpaka najiona naanza kubabaika na hapo Singida naona jamaa amesifu sijui vipi ni kweli yaani mengine inabidi uhakikishe. Nauli kutoka Dar hadi Bukoba ni kiasi gani siku hizi Mtwara najua ni 22000 kwa basi la Ng'itu ,Ntwala wandugu wanansemo wao uo ...nlichopewa na N'ngu kunyima ntu zambi...alafu wasichana walinizimikia sana ,we wacha tu...kupendwa laha ,aisee ,yaani mwenyeji wangu aliulizwa tulipokuwa tunakatisha mitaa ..uyo n'geni wako ataki tugange maisha ?
 
Unajua bana tutaongea mengi na kujificha ficha lakini at the end of the day bana..mwanamke ni reception (mutatis mutandis). hayo ya kuchakarika, kufanya kazi sana.. etc..ni jadi ya kila binadamu yeyote yule... ..

Chaga women are beutiful. I had one one and I really had fun. kale ka msemo kwamba hawajitumi wakiwa kwenye ile shughuli ya wakubwa nadhani si kweli sana. Maana I have nothing to regret in that encounter. Ila hawakupi zero options...you can still move ahead and get a better deal.

Wahangaza ni wazuri kwa reception, na uchakarikaji (kama ukimpata aliyekwenda shule). Sura ya muhangaza inatoa zero option kwa mwanaume. Kifupi ukimpata yule muhangza original..basi....itabidi ujikabidhi hapo.

Ohh..nearly fogot Mbulu! Ile place inatisha..madada wake ni very cute. Harafu naona wana resemble sana na wahangaza na wamasai....

Ila katika wote..sijui ni kabila lipi bomba kwa kuoa..leaving aside uzuri.

All in all sisi kwetu tunapenda wanawake weupe! kwa hiyo reception plays a big part!
 
maslahi ya taifa mbele shem.......tehe tehe nimeona leo afande kazilamba zkaibia zoote na kaifungilia mbali thread.......hata mie kilaza nilimng'amua mbunge mtarajiwa.....na akienda kutoa sera zake za kujua watu JF huko jimboni kwake atapata kura za mzee JSM na mama KM pekee.....

You so funny shem!! ina maana atapata kura 2 tu, hata yeye mwenyewe hatajipigia hahahah kazi ipo!!
 
Thanx!, Mkuu. lakini u cant c what i can c . Na sitaweza kushindana na fikra... LOL Ni Urijali Wala sio uongo Naishii mbali na nchii yangu. nimekumbuka mengi kupitia hii Thread tokea O level mpaka College
 
Kweli bado tupo nyuma sana,wakati wenzetu wakifanya bidii kuangalia uwezekano wa kuishi mwezini,sisi bado tunadiscuss wasichana wazuri.We should change guys,hatuna muda huo,,,,,,tuna mambo ya msingi na maana zaidi kuliko hili la mabinti

Easyyyyyyy bwana kaka!!! Watu hawawezi kuwa serious 24/7 na ndiyo sababu hapa kuna forum mbali mbali zikiwemo pia za burudani. Wewe kama unataka kuwa serious 24/7 basi huku usitembelee kabisa waachie wale ambao wanapenda kujadili mambo kama haya. Na kwa taarifa yako haya yana umuhimu wake pia maana bado njemba nyingine zinatafuta majiko.
 
Back
Top Bottom