Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,682
ni swali tu
Swali lako lina utata mkubwa!ni swali tu
🙂 Kibs banaSwali lako lina utata mkubwa!
mfano?je nyama ya aina gani uliyokusudia wewe?maana nyama zipo za aina nyingi
Nyama nyama nyama NYAMA, nyama ya ng'ombe NYAMA,nyama ya kuku NYAMA,nyama ya ki-sugar NYAMA.je nyama ya aina gani uliyokusudia wewe?maana nyama zipo za aina nyingi
umesahau ya BATANyama nyama nyama NYAMA, nyama ya ng'ombe NYAMA,nyama ya kuku NYAMA,nyama ya ki-sugar NYAMA.
Nilitaka sugar aelewe topic ya leo bila under 16 kuinyaka lol!umesahau ya BATA
1... Ya bata....itamu inamafutamfano?
1...
2....
3....?
Mhhhhh!!! Nyama na katerero? Kuna uhusiano? Ngono na kula?Wachagga.Wanapenda sana kitimoto, kuku, ng'ombe choma na mbuzi wamasai wanapenda sana nyama ila ya ng'ombe tu. Wahehe wanapenda sana nyama ya yule MNYAMA MLinZI. Wasukuma wanapenda nyama, ila ya ng'ombe na ziwani. Wahaya wanapenda sana nyama, ila kwa ajili ya KATERERO tu.
hahaaa MNYAMA MLINZI tehe umenichekesha saaana hapo!Wachagga.Wanapenda sana kitimoto, kuku, ng'ombe choma na mbuzi wamasai wanapenda sana nyama ila ya ng'ombe tu. Wahehe wanapenda sana nyama ya yule MNYAMA MLinZI. Wasukuma wanapenda nyama, ila ya ng'ombe na ziwani. Wahaya wanapenda sana nyama, ila kwa ajili ya KATERERO tu.