Mkoa gani tz wanapenda sana nyama?

Mkoa gani tz wanapenda sana nyama?

Kuna nyama fulani inaitwa nyama koboa! Kuna mtu anafahamu hii nyama?
 
Saint I bana!kidogo nikurupuke kutaja ni wagogo mkoa wa dodoma waliokomaa kula mpaka ng'ombe wenye RVF lakini kumbe hii nyama haipelekwi buchani!hatari tupu.
kuna wenzetu wasukuma wanakula vichwa vya samaki
 
Back
Top Bottom