Nyoka_mzee
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,695
- 5,515
- Thread starter
- #61
umeona eee ila wenyewe hawataki ,wanahisi wakijipura ndo wanapendeza zaidi,Neno hilo
kwanza uso ambao uko natural haupakwi mavitu ya ajabu huchelewa kuzeekq ,
ww tizama wanawake wenye kujiremba sana uso ushashuka ,ana miaka 25 kama ana 45