2024 usimfanyie mwanamke financial favour yoyote

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Mar 25, 2020
4,417
9,806
Wanaume walio wengi wanaingia gharama kuwafanyia wema wanawake kwa kuongozwa na huruma ya kuwaona wanawake ni innocent and honest creatures au kujitengenezea mazingira ya kupewa mbususu.

Sikilizeni vijana, wanawake wa sasa almost wote ni mataperi, shida wanazoombea msaada wa kifedha ni uongo. Ukiombwa hela kwa ajiri ya luku, kwenda hospitali, n.k jua ni uongo na iyo text ya kuombwa hela hautumiwi peke yako, text iyo iyo moja mnatumiwa sio chini ya wanaume 20 na wanaume watakaofanya muhamala basi wanawake wanaona mafala na kuwadhiaki sana uko kwenye story zao saluni na magetoni kwao.

2024 ukimtongoza demu akichomoa move on, don't keep friendly zone she will use you as a leverage for her financial needs. Kijana mwenzangu, 2024 date na mwanamke mwenye kazi halali inayomuingizia kipato ila hawa wanaamini kutoa mbususu pekee ndio uhalali wa kukubebesha shida zake piga hit and run. 2024 say no to "relationship kausha damu"

Washkaji zako wa kiume wakikwama hata kwa mambo yasiyo na lazima kama mfuko upo vizuri walinde maana na wewe siku ukikwama watukulinda ila wanawake hapana maana wanawake hawana msaada wowote mwanaume ukifulia.

Najua kuna wadangaji, washamba wa mapenzi na waliolishwa limbwata watakuja kutapika hapa, wapuuzeni hao. Kijana mwenzangu 2024 binti wa mtu akikuletea pigo za kausha damu piga mimba ingia mitini.
 
Katika watu pesa zao zina macho ni wanawake, kwanza ni wabahili halafu wana hesabu kali sana, mtu ana pesa mkononi hivi sasa imepangiwa mipango miezi sita ijayo. Halafu kutoa pesa zao huwa inawauma sana. Lakini tuishi nao. Mwanamke anaweza kuwa na milioni anatamani elfu tano yako.
 
Nilishawahi kumpiga chini demu mmoja hivi kausha damu. Anakuja geto anakaa mpaka siku 3 achangii chochote. Anakula bure, anatumia umeme bure, maji bure, shughuli ya kitandani kwa 98% naifanya mimi cha kushangaza anataka niwe nampa hela wakati kimsingi yeye ndie anatakiwa kunipa hela mimi kwa sababu ndie anaenufaika zaidi. Nikampiga chini.
 
Duh, huyo noma mkuu, kwa hio anajua malipo mbususu.
 
Najua kuna wadangaji, washamba wa mapenzi na waliolishwa limbwata watakuja kutapika hapa, wapuuzeni hao. Kijana mwenzangu 2024 binti wa mtu akikuletea pigo za kausha damu piga mimba ingia mitini.
Hapa utakuwa umemeza bomu. Usigawe mbegu zako hovyo. Huukomeshi mlango kwa kuubamiza. Ni kupitia mara moja na kuufunga huo mlango milele unauhakik.
 
Wanaume walio wengi wanaingia gharama kuwafanyia wema wanawake kwa kuongozwa na huruma ya kuwaona wanawake ni innocent and honest creatures au kujitengenezea mazingira ya kupewa mbususu.

Sikilizeni vijana, wanawake wa sasa almost wote ni mataperi, shida wanazoombea msaada wa kifedha ni uongo. Ukiombwa hela kwa ajiri ya luku, kwenda hospitali, n.k jua ni uongo na iyo text ya kuombwa hela hautumiwi peke yako, text iyo iyo moja mnatumiwa sio chini ya wanaume 20 na wanaume watakaofanya muhamala basi wanawake wanaona mafala na kuwadhiaki sana uko kwenye story zao saluni na magetoni kwao.

2024 ukimtongoza demu akichomoa move on, don't keep friendly zone she will use you as a leverage for her financial needs. Kijana mwenzangu, 2024 date na mwanamke mwenye kazi halali inayomuingizia kipato ila hawa wanaamini kutoa mbususu pekee ndio uhalali wa kukubebesha shida zake piga hit and run. 2024 say no to "relationship kausha damu"

Washkaji zako wa kiume wakikwama hata kwa mambo yasiyo na lazima kama mfuko upo vizuri walinde maana na wewe siku ukikwama watukulinda ila wanawake hapana maana wanawake hawana msaada wowote mwanaume ukifulia.

Najua kuna wadangaji, washamba wa mapenzi na waliolishwa limbwata watakuja kutapika hapa, wapuuzeni hao. Kijana mwenzangu 2024 binti wa mtu akikuletea pigo za kausha damu piga mimba ingia mitini.
Aisee! Vipi Kwa sisi tuliobahatika kupata wanawake wanaotupenda na kutujali mkuu? Pesa wanatupa , hawatupigi mizinga, anachokipata yeye ni chetu sote na tunachopata wanaume ni cha wote pia?

Mimi ninachotaka kueleza wanaume wenzangu ni kwamba wanawake wazuri kwa maana ya kujali bado wapo na tunaishi nao mitaani
 
Mleta mada uko sahihi sana i feel what u say big tym, hayo maviumbe ni maj!n! mufilisi. Hela ninayo na sioni taabu kutoa ila sitoi na sitatoa hela kwa mwanamke ambae hana chembe ya huruma, utu na ubinadamu. I observe too well i know.

Sina tatzo na kuomba hela ila kuna vitu mwenyewe na vi expect toka kwake from my care and affection nayompa ila utakuta Yani ni maviumbe flan selfish sanaa yanjiangalia yenyewe tu yani ukutane nalo moja li zembe alaf halijitumi kufanya kazi let alone kuchangia hata mawazo chanya yakukusogeza hayana ila ni kuomba hela na kutaka kukutumia tu…..

Kuna mmoja nilikutana nae kwenye harusi tuka exchange number nikaimbisha siku ya 2 mtu ananiomba laki 2 out of thin air kwamba anataka ya saloon. WTF
Nikamuambia kwa hyo wewe mtu kuwa rafiki yako hadi akupe hela.

Mtu basi omba hata 50k utaeleweka mtu siku ya pili anataka laki 2. Hahaha kweli bongo tambalalez u know. Hahaha vijana madem wa kweli wapo na madem pisi kali njaa kali ni wa kumwaga pia.
 
Back
Top Bottom