Mkitaka kuolewa basi punguzeni 'kujipura' kuliko pitiliza

Anakwambia yeye keshazoea kwenda kufanyiwa massage week mara tatu... Hawezi kaa na nyewele hizo hizo za kubandika zaidi ya week... Hawezk rudia nguo akivaa akivua anagawa... Hawezi kujibana bana kwa kutumia chini la laki moja kwa siku...

Wakati kwenye mkoba wake ana mia tano ya mwendo kasi tu...
sasa mkuu hapo kuna maisha na mwanamke kama huyu?

utajenga kweli?
 
unajua ndomana unakuta kuolewa haolewi ,alafu wanalalamika ,

Yaan wengi wenye mambo haya wanaishia kuwa vimada tu
Ukimuweka kimada utamfaidi sana... Atakunyenyekea sana... Atakupa mapenzi yote... Lakini kipindi utakachoingia upofu wa kumuoa tu kwisha habari yako...
 
Hivi kujipara si mpaka siku ya kwenda kwenye tukio tena maalumu, niende sokoni nijipare au kanisani au kazini hiyo makitu siwezi hata mtoko na bae wangu napaka ka baby Johnson powder ndo baaasi
 
Ukimuweka kimada utamfaidi sana... Atakunyenyekea sana... Atakupa mapenzi yote... Lakini kipindi utakachoingia upofu wa kumuoa tu kwisha habari yako...
hahahaha ni kweli kabisa wale wapo special kuwa vimada ,sio wife material
 
Hivi kujipara si mpaka siku ya kwenda kwenye tukio tena maalumu, niende sokoni nijipare au kanisani au kazini hiyo makitu siwezi hata mtoko na bae wangu napaka ka baby Johnson powder ndo baaasi
wenzio wanakuwa na nywele bandia kucha bandia kope bandia yaan kila kitu bandia mwisho wataweka papuch ya bandia
hahahaha ni kweli kabisa wale wapo special kuwa vimada ,sio wife material
 
Mafuta
14547632_1788228434729152_200020634179207168_n.jpg
tu yanatosha
 
Nawashangaa sana wadada wanahangaika saana kujikoboa nyuso zao..wanaazidi et ndo mbinu ya kumvutia mwanaume adse ...mnafeli saana,....wanaume wengi tunataka mwanamke natural...
 
mkuu ungefanikiwa kutuwekea na tupicha kigodo nadhani wangeelewa zaidI.
 
Nawashangaa sana wadada wanahangaika saana kujikoboa nyuso zao..wanaazidi et ndo mbinu ya kumvutia mwanaume adse ...mnafeli saana,....wanaume wengi tunataka mwanamke natural...
umeona eee yaan hakuna mwanaume anapenda janamke lenye makorokocho mengi mpaka uje zaa mtoto kituko,

utakuta wengine mungu ana walaani anazaa mtoto mweusi tiii mama kajitia mzungu
 
mkuu ungefanikiwa kutuwekea na tupicha kigodo nadhani wangeelewa zaidI.
hahaha mkuu sikubahatika kuwa naye wa hivyo kwanza mimi huwa siwataki,

mimi namkubali hasa mwanamke alosuka twende kilioniii...Yaan yuko natural
 
Kuna mmoja aliweka yale makope feki!! Dah alikuwa anatisha kama zombi, nikawa nakwepa kumwangalia machoni wakati macho ni kiungo muhimu kukiangalia kwa Mwanamke.

Nimefuta namba yake.
 
Back
Top Bottom