Mkitaka kuolewa basi punguzeni 'kujipura' kuliko pitiliza

Utakuta mwanamke kavaa v2 thamani ya mshahara wako kwa mwez

Nywele 70000,makeup 30000,nguo 150000,hand bag70000 tena hii ni ya k/koo hapo bado kucha,kia2...mweh!
mi naona kuvaa gharama sio tatzo kubwa mana huwa tunajiaminisha kuwa kama umemtongiza ukashawishi akakubali kuwa katika himaya yako bas utammudu hata katika gharama kwa kumshusha aendane na hali. Tatzo kubwa ni unajihisi kwa kujipodoa kule akiwa timamu kwanini hana akili kias kile?!!! Unajiuliza bwege hivi maishan wa nini?. Uzuri tu unaobaki kama unamtumia as disposable ndo hapo unafumba macho mnafanya hayo ya kupita.
 
Wanaume wengi tumekuwa tunatishwa sana na mwonekano wa wanawake kwa sasa, kwanza wengi wao wamepoteza uhalisia.

Ukimtathmini mwanamke nywele mpaka kucha gharama alizotumia, unaogopa, maana wengi haziendani na kipato chetu wanauame na hata ukitaka kumweka ndani unahofia ataniumiza kichwa maana hutoweza kumudu gharama.

Kwa namna hii ndomana wanawake wengi wa dizaini hii wameishiwa kuchezewa au kutumiwa kama nyumba ndogo Bila kuolewa.

Maana wanaume wengi wanahitaji mwanamke simple wakujenga naye maisha, ambaye ataweza kupambana na kila hali itayojitokeza, je kwa dizaini ya mwanamke kama huyu ataweza pikia kuni kama gesi imeisha?

Huwa tunajiuliza baadhi ya maswali kama haya na kisha tunafanya maamuzi. ndo maana matajiri wengi au watu wengi maarufu wameowa wanawake simple sana na matokeo yake wamefanikiwa.

Angalizo

Sina lengo la kupinga wanawake kujipura hapana ila kuna kiwango chake,
Sio kama hawa wa leo unajikuta mtu kajibandika rangi kama mia katika mwili wake utasema kama jini la kutumwa? Khaaaa!

Hata kama urembo ila sio huu

Nyoka_mzee umeongea point nzuri sana.....kina dada wasipojichunguza kwa kweli wataishia kuchezewa tu. Hivi mwanamme gani mwenye kujithamini anataka kuoa mwanamke fake? Mwanamke si beki tatu tu, mwanamke ana thamani kubwa sana katika maisha ya mwanamme, na ndiyo maana tunaangalia kwa umakini mwanamke yupi wa kuoa, changudoa au mpiganaji? Kwa vijana wa kisasa, si mnaona Mungu wenu Diamond alivyomtosa changu Wema na kusema kuwa si demu anayejituma, it's because Diamond aliona mbali na hakutaka mtoto wake awe na mama kama Wema kwani ingemletea madhara hapo baadaye.
 
mi naona kuvaa gharama sio tatzo kubwa mana huwa tunajiaminisha kuwa kama umemtongiza ukashawishi akakubali kuwa katika himaya yako bas utammudu hata katika gharama kwa kumshusha aendane na hali. Tatzo kubwa ni unajihisi kwa kujipodoa kule akiwa timamu kwanini hana akili kias kile?!!! Unajiuliza bwege hivi maishan wa nini?. Uzuri tu unaobaki kama unamtumia as disposable ndo hapo unafumba macho mnafanya hayo ya kupita.

No reason to be fake....mwanamke wa kiafrika ni mzuri zaidi akiwa make up free, wanawake wetu ni wazuri wa asili. Wanasema wanawake wa kizungu waliumbwa ili wanawake wa kiafrika watambue uzuri wao.
 
Nyoka_mzee umeongea point nzuri sana.....kina dada wasipojichunguza kwa kweli wataishia kuchezewa tu. Hivi mwanamme gani mwenye kujithamini anataka kuoa mwanamke fake? Mwanamke si beki tatu tu, mwanamke ana thamani kubwa sana katika maisha ya mwanamme, na ndiyo maana tunaangalia kwa umakini mwanamke yupi wa kuoa, changudoa au mpiganaji? Kwa vijana wa kisasa, si mnaona Mungu wenu Diamond alivyomtosa changu Wema na kusema kuwa si demu anayejituma, it's because Diamond aliona mbali na hakutaka mtoto wake awe na mama kama Wema kwani ingemletea madhara hapo baadaye.
Ni kweli mkuu ni wakat sasa watoto wakike wakae chini na kujitathmini ,kwanini ndoa kwao zimeota mbawa...

waache ufeki warudi kwenye uhalisia ,kama tungetaka watu feki basi tungeowa matoy mkuu,

urembo haukatazwi ilausibadilishe mwonekano wako asili,
urembo unaotakiwa ni ule wa kuboresha asili yako ,

mfano wanja kwa mwanamke
 
No reason to be fake....mwanamke wa kiafrika ni mzuri zaidi akiwa make up free, wanawake wetu ni wazuri wa asili. Wanasema wanawake wa kizungu waliumbwa ili wanawake wa kiafrika watambue uzuri wao.
umesema kweli mkuu yaan wa africa hata asipojiremba ngozi yake tiyali mungu alishailemba ,

ila hawa wenzety weupe huwa wana ngozi mbaya bila kujibust na kamekap wallah unaweza ukajiwa umetokewa na bwengooo
 
umeona eee yaan hakuna mwanaume anapenda janamke lenye makorokocho mengi mpaka uje zaa mtoto kituko,

utakuta wengine mungu ana walaani anazaa mtoto mweusi tiii mama kajitia mzungu

Kuzaa mtoto mweusi kumbe ni laana?....utakua mwarabu/mzungu ,bila shaka.
Mijitu kama weye mnakasirisha sana, hii ni Afrika ,ardhi ya mtoto mweusi.
kalb hayawan!
 
Kuzaa mtoto mweusi kumbe ni laana?....utakua mwarabu/mzungu ,bila shaka.
Mijitu kama weye mnakasirisha sana, hii ni Afrika ,ardhi ya mtoto mweusi.
kalb hayawan!
kama kitu hujaelewa heri ukauliza sio unakurupuka uko ,na stress zako za maisha...

Nilichosemea mwanamke anajichubua kwa kutaka urembo mwisho wa siku anazaa mtoto mweusi tofauti na yeye alivyo ,kwanini usijikubali mtu ulivyooo
 
Back
Top Bottom