Mkitaka kuolewa basi punguzeni 'kujipura' kuliko pitiliza

Neno hilo
umeona eee ila wenyewe hawataki ,wanahisi wakijipura ndo wanapendeza zaidi,

kwanza uso ambao uko natural haupakwi mavitu ya ajabu huchelewa kuzeekq ,

ww tizama wanawake wenye kujiremba sana uso ushashuka ,ana miaka 25 kama ana 45
 
Mku acha tuu wanakera ndy maan wanaishia kupigwa tuu na kuachwa ndy dawa yaoo
 
Mku acha tuu wanakera ndy maan wanaishia kupigwa tuu na kuachwa ndy dawa yaoo
Hakuna mtu mkuu anaweza kutoa takataka mtaani akaingiza chumbani kwake

kila mtu anajipenda na ndomana utakuta mtu akitaka kuowa anatafta wifematerial sio hawa vibiriti upele
 
Wanaume wengi tumekuwa tunatishwa sana na mwonekano wa wanawake kwa sasa,kwanza wengi wao wamepoteza uhalisia ,

Ukimtathmini mwanamke nywele mpaka kucha gharama alizotumia ,unaogopa ,maana wengi haziendani na kipatoqmu chetu wanauame,na hata ukitaka kumweka ndani unahofia ataniumiza kichwa maana hutoweza kumudu gharama na ukin alem,

kwa namna hii ndomana wanawake wengi wa dizaini hii wameishiwa kuchezewa au kutumiwa kama nyumba ndogo Bila kuolewa ,

maana wanaume wengi wanahitaji mwanamke simple wakujenga naye maisha,ambaye ataweza kupambana na kila hali itayojitokeza,je kwa dizaini ya mwanamke kama huyu ataweza pikia kuni kama gesi imeisha?

huwa tunajiuliza baadhi ya maswali kama haya na kisha tunafanya maamuzi. ndomana matajiri wengi au watu wengi maarufu wameowa wanawake simple sana na matokeo yake wamefanikiwa..

Angalizo

Sina lengo la kupinga wanawake kujipura ,hapana ila kuna kiwango chake ,
Sio kama hawa wa leo unajikuta mtu kajibandika rangi kama mia katika mwili wake utasema kama jini la kutumwa?
khaaaa

hata kama urembo ila sio huu
ba032dc3441e07256bd0cac2474414c0.jpg
 
Back
Top Bottom