Siongei kishabiki, ila kasi ya ukuaji wa miji ambayo ipo kandokando ya ziwa Victoria na karibu na miji mikubwa huwa kubwa sana. Kilichokuwa kinaleta shida ni mpangilio mbovu wa Miji.Atleast Pwani ni karibu na Dar, watu wanahama kwenda mkoa wa pwani kupanua mji.
Huko Chato nani atakaa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha wivu jifunze kwa walioendelea
Kwan ni uongo tangu enzi na enzi kilimanjaro ni mwalimu wa maendeleo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata ningekua mimi ningekumbuka nyumbani aisee! Uzuri hata Waziri Mkuu mstaafu anayetokea Kaskazini Cleopa Msuya, mpaka leo kuna baadhi ya wadau wanamshutumu kupeleka barabara ya lami kwao huku maeneo mengi ya kimkakati yakipotezewa.
Sema tu kuna umuhimu wa kubalance kwa namna yoyote ile! maana too much is harmful.
Kuna neno umenifurahisha mkuu.....' kuna tofauti ya mtoto aliyekulia kwenye nyumba ya nyasi na aliyekulia kwenye nyumba ya bati na sakafu'..... hayo maneno yamebeba ujumbe mzito na ndiyo hayo pekee yamenifanya kuchangia mada hii.
Kwingine kote nimetofautiana kidogo na mawazo yako.
Sisi tunaunga mkono chochote kinachojengwa popote kwa gharama yoyote!
Huu mwamko wa uungaji mkono wa aina hii umetokana na matendo ya tawala zilizopita, za siasa za maneno, kupiga pesa hadi nchi ikachakaa kama dampo la taka na tukakosa wa kumlaumu!
Miradi yoyote ile ijengwe kaskazini, kusini, mashariki ama magharibi kwa gharama yoyote sisi twaiunga mkono, maana hii ni Tanzania moja hatuhitaji vibali vya uhamiaji kwenda kuishi popote upapendapo.
Kuanza kusema matabaka ya wa kaskazini, sijui mashariki, mawazo hayo yana harufu ya ukabila na ni sumu kwa kizazi cha leo.
Mawazo ya namna hiyo yalikwisha kufutwa zamani na baba wa taifa kwa kutoa elimu ya uraia iliyomaliza ujima huo wa ukabila, sasa tusirejelee huko
Aheri kujenga kuliko kutojenga na hela iliyopo kuishia kupigwa na wajanja!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mfumo..yajayo yanafurahishaAcha wivu jifunze kwa walioendelea
Kwan ni uongo tangu enzi na enzi kilimanjaro ni mwalimu wa maendeleo
Sent using Jamii Forums mobile app
First class third world country😂😅Kaskazini wote maisha yao 'first class', kuanzia Unga Limited, Same mpaka Mashati Rombo!
Kanda gani sikuhizi haina elimu?...Noted
Kaskazini ameshindwa kuidumaza maana watu wa kule Wana akili nyingi ametumia kila nguvu lakin Cha ajabu kaskazini haitetereki kila mahali tz ukienda unakuta wakaskazin wameshika fursa,hata chato wakaskazin wameshakamata fursa kitaambo huku wenyeji wakichunga ngombe,hii ndio faida ya elimu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye huu uzi wako unataka kuwaambia watu kwamba pamoja na kwamba wanalalamika chato kupendelewa kuliko mikoa ya Kas kazini, bado hiyo miradi iliyopelekwa huko kiupendeleo, watakaoiendesha ni watu wa Kas kazini maana ndio wenye maono.
Nani anajenga hayo yote huko kwa siri, jpm?Ungekuwa ushafika Chato afu unaandika uwo upuuzi wako, nafikiri ungejishangaa sana.......jaribu kuandika kitu ulichokiona kwa macho usiwe mtu wa kusimuliwa simulizi, kama hadithi za abunuawasi.
Sasa kwa taharifa yako NMB wamejenga bonge la jengo zaidi ya CRDB na hospitali kubwa sana inajengwa km mloganzila......
Najua ayo pia ujui.....tembea na fact.....kaka
Hao bado hawajazinduka mkuu! Makabila yote siku hizi wameelimika wanajua dunia inaendaje.Mshana Jr mtizamo mpana ni kwamba kila mtu anasoma siku hizi na kila mtu ana biashara sikuhizi
Sio tu makabila yaliyokaririwa
Hamjajifunza tu bado?..
Kuna service gani special Kaskazini ambayo Kanda zingine hawana?.
Anafikiri wote hapa ni wajinga, sipendi mijitu ambayo bado inaabudu ukabilaAkiulizwa afafanue anaruka ruka
Ila hamna kitu kitakachowashusha 'kaskazini' kama hio kujiskia wako smart kuliko wengine..matokeo yake wanarelax wanajiona wamefika wkt Tanzania wote ni 3rd world country[emoji23][emoji23][emoji28]
Sikuzote anayepiga hatua ni yule ambae anajiona hajafika...this applies to jamaa zote ambazo zilihisi kuachwa nyuma wana bidiii mfano hakuna siku hizi
Ni kama vile soko la simu sasa kila kitu ni iPhone na Samsung...ila Nokia na Blackberry ilitamba sana
Mtabaki historia...mark my words
Watasalimika watakaoendelea na bidii na maisha na kuishi vizuri na watu...si zama za ukabila sasa...ts abt value ya mtu na si kabila ama ukanda
Na hapo ndo wanapofeliMkakati wa kichadema
M/kiti MCHAGA
Katibu MCHAGA
M/kiti bawachha MCHAGA
M/kitu Bavicha nijuzeni
Sent using Jamii Forums mobile app
Hali hiyo inaondoka kwa kasi ndio maana mnahisi mnaonewa!Hatujakataa
Lakin bado ktk nyanja ya exposure au kusoma, kaskazini ipo juu yaani ime maintain,hivi Kuna taasisi gan utawakosa?
Kuna eneo gan tz utamkosa mchaga? Hii Ni exposure ya Hali ya juu kbs kimsingi bado sana kutufikia
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi endelea kubaki na akili zako hizi hizi mkuu!Ni kweli kwan uongo?
Sehemu yoyote mtu wa kaskazini alipo lazma kuendelee, ukienda mkuranga,kisarawe wachaga wamenunua karibu maeneo yote na maendeleo ni makubwa mno,ila mwanzoni wenyeji hawakuona fursa hii hii ndio mantiki ya mshana
Sent using Jamii Forums mobile app