LadyRed
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 9,636
- 11,507
Akiulizwa afafanue anaruka rukaHuyo mshana mda mwingine anakuwa na mada nzuri , wakati mwingine anajisahau sababu ya unazi wa kisiasa.
Mada kama yake ilitakiwa aanzishe mtoto mdogo asiyejua historia ya hii nchi, ila cha ajabu mtu mzima ambaye ana heshimika na baadhi ya watu hapa JF ndio amekuwa wa kwanza kuanzisha mada ya kipumbavu na kishamba kabisa.
Tanzania ni moja , ikiendelezwa Chato , Msoga, Mbeya, Moshi, Arusha, Mwanza, Dodoma, kigoma, moro n.k yote ni maendeleo tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila hamna kitu kitakachowashusha 'kaskazini' kama hio kujiskia wako smart kuliko wengine..matokeo yake wanarelax wanajiona wamefika wkt Tanzania wote ni 3rd world country😂😂😅
Sikuzote anayepiga hatua ni yule ambae anajiona hajafika...this applies to jamaa zote ambazo zilihisi kuachwa nyuma wana bidiii mfano hakuna siku hizi
Ni kama vile soko la simu sasa kila kitu ni iPhone na Samsung...ila Nokia na Blackberry ilitamba sana
Mtabaki historia...mark my words
Watasalimika watakaoendelea na bidii na maisha na kuishi vizuri na watu...si zama za ukabila sasa...ts abt value ya mtu na si kabila ama ukanda




