Mkishangaa ya Chato msisahau ya Msoga

Acha kujisifia mdaku wewe . Watumishi wachanga wengi walipika vyeti wametimuliwa . Ndo Mana mnahangaika tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jengo la mahakama ya Wilaya Chato
Jr[emoji769]
 
Abiria wa treni ya Dar-Kigoma-Dar wamelalamikia kitendo cha mabehewa ya deluxe kuhamishiwa treni ya Dar- Moshi-Dar.

Uchunguzi umebaini kuwa, sababu za kuhamisha mabehewa hayo ni kwamba, treni ya Dar-Kigoma ambayo husafiri kwa siku 3, abiria wanakunywa kreti 20 za bia, wakati treni ya Dar-Moshi inayosafiri kwa saa 16 abiria wanakunywa kreti 150 za bia.

[emoji481][emoji2988][emoji482][emoji443][emoji481][emoji876][emoji14][emoji317][emoji851][emoji1783][emoji481]
Jr[emoji769]
 
Yes wao waliwahi kuamka ndio maana sasa hivi unaona wanasema wanaonewa na utawala sababu hawataki kukubali kwamba watu wote kutoka kila kanda wameamka!

Kila pahala, penye fursa utakutana na watu kutoka kila kona ya nchi sababu kila mtu siku hizi ameshaamka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ulishawahi kuona Kiwanja kinauzwa moshi/kilimanjaro?

Hii ndio Tofauti ya Kaskazini na wengine.

Jamani tuwache wachaga.
Kuna vitu wametuzidi sisi wengine.
Cha msingi tukae nao karibu watupe maujanja yao tu.

Nawasilisha

Uduzungwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyoka walisharudi shimoni wanasikilizia na kuchungulia.. Naona unawamwagia mafuta taa tena [emoji23]
Jr[emoji769]
 
Imani yako imekuponya

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…