Mkishangaa ya Chato msisahau ya Msoga

Tuna shida na ikulu?
Sisi tunawaza maendeleo tu kwan ukienda ikulu ndio maisha ya wananchi yanabadilika? Mbona mkoa wa geita Ni miongoni mwa mikoa maskini japo raisi katokea huko?
Tunatanga tanga mikoani au tunamiliki héla? Kwan Kuna sehemu yoyote tz utamkosa mwana kilimanjaro anamiliki ma vitega uchumi ? Kule kilimanjaro tumeshapendezesha tukahamia mikoa mingine kuwafungua akili kwahyo mtushukuru
Kilimanjaro pamoja na kuwa mkoa mdgo, ndio mkoa wa kwanza kuwa na shule nyingi za sekondar Tanzania
Hushangai?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kilimanjaro kuna watu ? Huko ni makaburini tu pa kwenda kuzika. 59% wote mmepakimbia. Mmebaki kubweka kama mbwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumepakimbia kivipi? Ile mijengo mikali vijijn imejijenga yenyewe?
Sababu kuu ya Wana Kilimanjaro kuwa nje ya mkoa Ni elim Hakuna Kijiji Chochote tz utamkosa mtumishi mchaga
Pia sababu nyingine Ni biashara,ulishaona mfanyabiashara anakaa sehemu moja?
Tanzania nzima wapo na wanamiliki vitega uchumi,huwez kukua kiuchumi kwa kukaa eneo moja hiyo ni principe of economy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa kabisa
 
Endelea kubishana na hao hao watoto Sasa, naona umesharudi kwenye ligi za mchangani.

Jitu zima baada ya kujadili mambo ya msingi unaanza kujadili upumbavu, ujinga na ubaguzi eti ukabila?


Watu wenyewe akili wako kwenye nyuzi zenye akili na maana ila wewe unashupaza shingo kubishana na watoto kuhusu ukabila na ukanda? na.

Hata uweke reference Zaidi ya mia ila unatakiwa kujua kwamba , ulichoanzisha na kuanza kujadili ni takataka na wewe pia ni takataka vile vile.

Hivyo endelea kubishana na hao watoto kuhusu hiyo takataka uliyoanzisha hadi roho yako ifurahi, nafikiri unachofikiria ni kupata ushindi wa maneno kwamba kaskazini ni watu wanaostahili kupata maendeleo kuliko makabila yote Tanzania, hivi una akili wewe?


Nimeshakuacha na ujinga wako, ila ukweli Nimekuambia hivyo endelea kubishana na Hao watoto sasa hadi ufurahi, halafu nenda Same, Mwanga na Moshi ukawasimulie ndugu zako kwamba umeshinda ushindi wa maneno JF kwamba wao kilimanjaro ndio kwenye makabila yanayostahili maendeleo yote Tanzania kuliko mikoa mingine yote, hivyo mikoa mingine nchini Tanzania haistahili kupata maendeleo.


Sipati picha watu wengine wanaotumia ubini wa mshana wanajisikiaje wakiona mtu kama wewe anatumia ubini huo kuanzisha takataka kama hiyo

Unatakiwa utumie Jina lingine hapa Jf kuliko kuwachafua mshana wenzako ambao hawakujui wala hawana hatia kwa ushenzi unaofanya wewe hapa JF,

Narudia tena Nimekuacha undelee kubishana na watoto wenzako kwenye hii takataka sababu hauna hoja ya msingi wewe mshana.
Kumbe na wewe Jamaa ni mpuuzi hivi. [emoji117][emoji117][emoji117]ni rahisi sana kuongea kuliko kuthibitisha... Unapochangia mada ya mpuuzi nawe unakuwa mpuuzi unalitambua hilo?

Jr[emoji769]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lile ni jengo la PPF
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaposema labda wa kaskazini sijui waokoe jahazi and shi.t unamaanisha nini?.mnajikutaga keki ila i assure you kwa ulikwengu wa sasa hamna jipya ambalo makabila wengine hawana kama lipo litaje hapa tumalize mzizi wa fitna
Hivi kwanini kila kona ya mji ulioendelea kidogo utakutana na watu wa kasikazin wanabiashara tayari, nenda kahama, mwanza chato, dodoma ,dar kariakoo Hawa wenzetu waliwekeza kwenye elimu elimu na biashara kuwakimbiza inatakiwa tufanye bidii sana, kuna siku nlikua kcmc hosp jamaa angu akaniambia nikaribie kibosho jamani wezetu wako mbali kuna manyumba mazur hadi kijijini tena yamepauliwa kwa msouth(bati) tuamke ndungu zangu wagogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante mkuu ,kuna watu hawaamini kuwa Hawa watu wamewaacha mbali mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mfano Pwani ya JK wenyeji wamebaki kuwa viibarua wapagazi na kazi zisizo na taaluma huku wakiendelea kuuza ardhi zao kwa bei sawa na bure.. Wao wakipata pesa kidogo ni starehe na KUONGEZA wake.

Jr[emoji769]
Na kuongeza idadi ya majini na misukule!
 
Mwanzo wa post yako ni uharo mtupu. Hivi Tanga na huko umasaini kuna nini cha kuzidi sukumaland ? Pole sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Rafiki ulikuwa unanijibu Mimi au mtoa mada? Maana Mimi siio mleta mada. Nimecomment tu kuwa chato iko na ilikuwa mbali zaidi ya msoga. Sasa ulivojibu mambo ya uharo imeonekana kama umenijibu kumbe ilitakiwa umjibu mtoa mada! Ila ni mtazamo wake !
 
Alijitahidi kupush maendeleo lakini ndio hivyo tena... Kuna kauzembe kalitokea
Kama unaelewa zaidi, tuelezee maendeleo ya Usangi.
lakini Usangi ndio sehemu ya kwanza kuendelea Wakati huo way back 80's kukiwa na mtaa maarufu wa Store Mombasa pale Kiriche

Jr[emoji769]
 

Naona Mshana Jr umejadili hoja za ukabila nyuma ya Pazia. Ila kwa karne ya sasa, nachelea kusema hoja yako ni Batili Na mawazo yako ni ya nyuma kidogo; kwa sababu wazazi wengi sasa wameamka hata kama anauza vitumbua lakini mtoto wake anasoma Shule ya kueleweka.
Wafanyabiashara Konki siku hizi ukiuliza utaambiwa huyu Mkinga, huyu Mpemba , huyu Msukuma , huyu Mnyiramba etc etc

Ukifika maofisini siku hizi unakutana na Mzaramo, mpemba ndio Madaktari Bingwa, Ma injinia etc etc.

Ifeke pahala watanzania hizi mada za Ukanda wa ziwa, Kaskazini tuzipunguze maana ukabila ndio ulianza hivi hivi; Tusije kuwa kama Wakenya ambapo ukabila utaendelea kuwatafuna.

Hata hivyo, ninakusifu kwa observation zako kuhusu hii kitu ya Chato na Msoga. Kwa staili hii , ili Tanzania iendelee vyema, basi inahitaji kutoa Rais kila Mkoa ili huyo Rais apeleke maendeleo kwao kama hawa wawili wa mwisho walivyofanya.

Lakini pia, napenda kuona observation zako katika hili; hivi Chadema ukomo wa kugombea Uenyekiti ni miaka mingapi ?

Thanks Kaka!



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Lakini pia, napenda kuona observation zako katika hili; hivi Chadema ukomo wa kugombea Uenyekiti ni miaka mingapi ?

Thanks Kaka! [emoji120][emoji120][emoji120]sijawahi kusoma Katiba yao kaka hivyo ni ngumu kujibu
Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…