Mkishangaa ya Chato msisahau ya Msoga

Hata tungepigwa na tsunami Kama akili ipo ipo tu,kumbuka maendeleo yanaanzia kwenye mindset za watu sio vitu
Ndio maana pwani Kuna vitu Ila watu hawana mindset hadi mkuranga, kisarawe bagamoyo wachaga wameinunua karibu wanamaliza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo ni asilimia ngapi ya wote?
Kwan Kuna kozi ambazo hatupo? Kila idara,kila pembe sisi tunawaza maendeleo wee endelea kuwaza kuchunga mbuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hali hiyo inaondoka kwa kasi ndio maana mnahisi mnaonewa!
Hamtaki kukubali ukweli kwamba hizo fursa kila Kabila linazigombania siku hizi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hamuwez kututoa maana tunaendelea kusoma tena Sana
Ingekuwa tupo wazembe tungeshatolewa kwenye njia zamani
Ndio kwanza tunaimarika
Hata kwa maendeleo, kilimanjaro ni mkoa wa pili watu wake kuishi maisha Bora baada ya dar,yaan 90% ya Wana kilimanjaro wanaishi maisha Bora kwa sekta zote sii miundombn,maji nk
Ulishawahi sikia umeme wa REA KILIMANJARO? Ulishawahi sikia mambo ya hospital za wilaya au vituo vya afya kuzinduliwa ? Vipo toka kitambo sehemu zingine ndio neema hiyo wanaipata sahv kwahyo aliyeendelea kumshusha ni vigumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliyetangulia katangulia tu acha ubishi,tangu lini mwanafunz akamzidi mwalimu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni mfumo..yajayo yanafurahisha
Mtafurahi wenyewe
Ndio kwanza tuna improve
Kwa takwimu za serikali za sasa, kilimanjaro ni mkoa wa pili kwa watu wake kuwa na maisha Bora
Yaani 90% ya Wana Kilimanjaro Wana maisha Bora tunataka kufikia 100% kabisa
Kule kilimanjaro shughuli za maendeleo watu wanachangia Sana mfano vunjo wananchi walichanga bilion 7 kukarabati barabara zote za jimbo hii kitu haijawahi
TOkea popote Tanzania
Kuna mengi ya kujifunza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vitu Kama hivyo kilimanjaro vipo tangu miaka ya 80's
Ulikolala ndipo wenzako walipoamkia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaskazini hamna tofauti na ziwani. Atoke kusini kama hawana wasomi atoke nyanda za juu kusini magharibi. Mbeya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka Mshana, hata mzee Benjamini alifungua ukanda wa kusini kwa daraja na Barabara.Mkumbuke mzee CD, akiwa pm.Shida sisi twajiona tunajua mno.

Ndio maana tunahesabiwa katika kundi la watu wasio na furaha Duniani. Hivi kweli jirani zetu, waliotuzunguka wana furaha kweli?

Mwamba ngoma huvutia kwake,


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nshamba Kuna waarabu Koko wa kihaya hakuna mchaga.

Mzee usiforce mkuu.inaonekana wahaya huwafahamu vzr na Tabia zao.

Hakuna kabila linaloweza kusurvive uhayan labda kidogo watutsi ambao nao wamejifanya wanyambo na wahaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni moja ya wale wapumbavu sana wote tz wamesoma lakini kipindi cha nyuma mifumo mibovu ya ajira ndo iliwafanya muwepo Kila sehemu. Yani nyie si wakukabiziwa nchi maana mtamuweka mpaka mtoto wa miaka miwili ofisini, asilimia kubwa wenye vyeti feki wanatokea Kaskazini tunawafahamu wengi mmetimuliwa msimu huu wa awamu ya tano[emoji38][emoji122][emoji122][emoji122] wengi tu. Msipende kujidai mmesoma wakati tumegundua janja yenu . Ukimwajiri mchaga mmoja ndani ya mwaka utakuta wamejazana wao mpaka wanapika na vyeti wanajidai wasomi. Tuna data zenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukienda kuishi Kaskazini watakuloga Hawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkakati wa kichadema

M/kiti MCHAGA
Katibu MCHAGA
M/kiti bawachha MCHAGA
M/kitu Bavicha nijuzeni

Sent using Jamii Forums mobile app
Chadema is poor hakuna chama hapo ni saccos ya kaskazini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ndio ukabila anaofanya magu.
 
Mnasikitisha sana ninyi Vijana, yani mnajitekenya na kucheka wenyewe.
Ninaposema ninyi mashoga mnadhihirisha kweli ni mashoga.
Hoja hamna mmeanza mipasho, pumbavu Kabisa.
Tulieni wanaume tuwafundishe

Sent using Jamii Forums mobile app
Mnamshabikia rais mbovu zaidi Africa hata kutoka nje ya nchi hii shida. Tuwe makini sana na dikteta huyu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…