Mkiona kimya mjue nimepigwa BAN...!

wazee wengine wanazeeka vibaya hivi babangu leo mchana umekula nini labda chakula ulichokula kina al-shabaab si bure.

Kumbe Asnam na wewe umemstukia eeh? Mi nahisi sana isijekekua kaonjeshwa "Cha Kyela" huyu!
 
Last edited by a moderator:
Jilipue tu mkuu Mtambuzi wala usiogope...kama unaona silaha nyingine zitachelewa kukumaliza njoo nikuanzime hii ya kwangu

ai-as50-1.jpg

itakusaidia kukurestisha in peace haraka sana bila ya kuisikia maumivu. Ila kumbuka kunirudishia silaha yangu ukishamaliza kuitumia.
 
Last edited by a moderator:
kwa sababu za kiitelijensia unaombwa sana ucfanye hivyo na tunakuunia kamati maalum ya kukuchunguza akiwemo mgaga mfawidhi wa jf MziziMkavu
 
Last edited by a moderator:
Ndio hivyo tena, najijua mie domo langu hili nikiamua kufunguka, naenda kulianzisha kule na ninajua sitasalimika

Unaenda kutangaza unahamia chichiem? Maana in real life tunakujua wewe ni friiman aikaeli aka baba canta.
 
Back
Top Bottom