Mkiona kimya mjue nimepigwa BAN...!

Mtambuzi mi nipe changu kabisaaaaaaaaaa tuma;lizane nahisi hautarudi tena ,shaurilo!lol
 
Last edited by a moderator:
We nawe inahu!
Halafu huo mtindo wako hujibu PM za baba yako usiku, kwani huwa unafanyaga nini usiku wakati sijala mahari yangu..!!!!
si we mwenyewe umenipeleka bording school thimu hujaninunulia ntakujibu vp,halafu huo usiku nakua prepo ndo maana ripoti yangu imejaa mabanda.
 
Mkuu si umenipta hapa BUGURUNI KIMBOKA ukielekea hapo Vingunguti mitaa yan kati...

sitaki kuamini kama kimboka na penyewe unafika mbona wanitia mashaka babangu na uzee wote huo kwann usiende sehemu ambazo naniiii hawajiuzi,hayo macho huwa unayafumba kweli.
 
sitaki kuamini kama kimboka na penyewe unafika mbona wanitia mashaka babangu na uzee wote huo kwann usiende sehemu ambazo naniiii hawajiuzi,hayo macho huwa unayafumba kweli.

Nasafisha macho tu binti yangu si unajua naondoa kiwi cha macho tu....
na uzee huu nitaweza wapi sarakasi za vijana wa leo, watanitengua kiuno bureee
 
Back
Top Bottom