ngosha wa mwanza
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 4,649
- 14,314
Hilo jina lake tu ni tusi huyo achaneni nae sisi wasukuma tuko pamoja na Mama hao wapuuzi .Kwanza mm nashukuru ndugu yangu hakuiacha inchi kwenye vita kwa hiyo hayo matatizo mengine Mama najua atayamaliza .Jamani hebu tujenge nchi hawa wanao taka mama ashindwe wakafie mbele huko shenzi zao kabisa...Kuna jamaa linaitwa Jitombashisho, linalia Kisukuma hadharani mpaka watu wanalishangaa!
Ww umeanza lini kujitegemea hivi nyinyi akili zenu ziko wapi....Tanzania bado sana kusema tunaweza kujitegemea .Ukitaka kujua bado hebu angalia deni la taifa ndo utajua tunajitegemea ama tunategemea ..mnakaa mnandanganya watu eti kujitegemeaacha mikwara mbuzi wewe eti kuna watu wamepewa hela nyooka raia hawataki kuona tunarudi tulikotoka kwenye utawala wa upigaji wa enzi hizo wameshaonjeshwa utamu wa kujitegemea na matokeo chanya kuonekana kwa vitendo na siyo maneno
enzi za porojo ziliisha enzi za jk sasa hivi watu wanataka matokeo
Wewe ni mfiwa mamba ngapi!?Jipe moyo Nyuma ya key board.
Mkituzingua tunawafungia kisiwani.
Eti Jitombashisho! Jamaa la hovyo kabisa yaani linashusha nyuzi utafikri limepagwa!Hilo jina lake tu ni tusi huyo achaneni nae sisi wasukuma tuko pamoja na Mama hao wapuuzi .Kwanza mm nashukuru ndugu yangu hakuiacha inchi kwenye vita kwa hiyo hayo matatizo mengine Mama najua atayamaliza .Jamani hebu tujenge nchi hawa wanao taka mama ashindwe wakafie mbele huko shenzi zao kabisa...
Nani kapanic?Kama ni hivyo, mbona wapinzani wakimsifia huyo mama kutokana na kuachana na njia za yule muovu, MATAGA wanapanick?
WanahahaSukuma Gang
Nakuhakikishia kuunda chama chake HAWEZI. Mama yuko IMARA na ataendelea kuwa IMARA akiwa CCM. Na katika ushauri wa KIPUUZI ambao hapaswi kuusikiliza na kuufuata na huo!Kuna kundi dogo faidika la utawala uliopita ile taharuki ya msiba wa bygone inawaisha sasa na kujikuta tayari mambo ni moto fire....wanashuhudia live jinsi mtandao wao unavyopukutishwa kwa kasi ya moto wa kimbunga...
Soma nambaWapi nisome?
ccm ni imara kabisa 💪🏽💪🏽Huyu ni dume la kuku sio!
View attachment 1746060
Da! Usinikumbushe nadukua ntakupa mrejesho alikuwa nani ...halimbaya kwake sasahivi
Tutapambana nao kama tulivyo pambana na Marehemu Mzee Wao, mpaka akapata stroke. Ikibidi hata kuwakeketa bila ganzi tutawakeketa tu.
Mabadiliko bado sana uteuzi wa Makatibu Wakuu na Manaibu Makatibu Wakuu jumla ya kanda ya Magharibi 31. Namba bado haipendezi. Proper changes is needed. The balance of weigh scale still tilt on western alliance.Mh ina maana bimkubwa keshazidiwa!?
Haijakaa itokee awe replica. They were different sides of the same coin in many instances.Mama ni replica ya meko.
Sijui kwa nini mnamuamini sana hivi
Kabisa. Hii ndiyo muhula wake wa Kwanza kama Rais hivyo wapewe mitano tena na ikifaa tumpe zaidi mpaka asafishe ukabila na ukanda na ule udikteta waliovikwa baadhi ya viongozi. Aisee utafikiri tuligeuka Kosovo.Mama mitano tena