Mkimpenda mume wa watu mnafanya nini?

Kweli mapenzi hayana adabu wala aibu! Dah! Unakimbia faster kabla hujabadili mawazo....:bolt:
 
Bora mimi sijasema! Watu huwa hawafichi ati...yaani yanaonekana jumla jumla mbele ya macho ya wanaoona.

Utaficha nini hali mapenzi kikohozi Ndahani.... mimi nikikupenda hapo unconsciously (tena bila ruhusa yangu) mapenzi yanajianika mbele ya hadhara!
 
Ndiyo shida ya mapenzi... Au labda infatuation...

We waweza kuhisi huonekani,wakati wenzako wanakuona,na hiyo ni hasa yule unayempenda awe hajajua kama kapendwa nawe,au kajua ila anapotezea kwa sababu zake,iwe woga au chochote kile...

Watu watajua tu..
 
sasa kumkimbia mtu kutakusaidiaje? Ukikutana naye uchochoroni si utajiachia ukaanza kucheka bila kuchekeshwa? Dawa ni kukataa kuendelea kupenda...how I don't know!
 
Uzoefu unaonyesha hivyo...hata kama ni kwa wanandoa...kuna wakati unajua hapa mwenzangu ndo hivyo tena!!
 
Mapenzi... yawe ya kweli ama ya uongo, yawe ni lust, infatuation ama Love it self ni kazi saana kujua for at the end viashiria vya hizo feelings kabla ya kukutana kimwili nyiiingi zafanana. Hivo basi it does not really matter, what matters ni kua you have feelings na waonekana you have feelings aidha kwa kujitambua ama kutojitambua.

Alafu mtu ukimpenda na kagundua ila hajakupenda, ni mzuri saana anaekupotezea sababu deep down unakua na hope kua ungekua wazi nae angekupenda ila you let go (in most cases); tofauti na yule hakupendi then anaamua kuchukulia advantage aidha sababu ya material/emotional ama physical interests.... hao ndio huweka makovu mabaya katika mioyo ya wapendao....
 
sasa kumkimbia mtu kutakusaidiaje? Ukikutana naye uchochoroni si utajiachia ukaanza kucheka bila kuchekeshwa? Dawa ni kukataa kuendelea kupenda...how I don't know!

In blue.. the first step ya kuachivi hio dawa in blue ni kukimbia. Roho huwezi kataza kua usipende... Haiwezekani! Kuikomesha roho yako na tamaa yake ya kupenda pasipo, ni lazma ubongo wako ukusaidie kwa kumkwepa the person in question kwamba msiwe kabribu at all cost! Huku uki nurse maumivu kua you could never be the person in question.... then other steps will follow taratibu...
 
Inaelekea you talk with experience, lol! Mzee asije akawa anajua anakuchora tu!
 
Jamani Ndahani mbona wanionea na wataka kuniuzia case??!! lol... Sio kweli hebu futa kauli yako kabla sijamuita Paw aku ban!lol
 
Uzoefu unaonyesha hivyo...hata kama ni kwa wanandoa...kuna wakati unajua hapa mwenzangu ndo hivyo tena!!

nilipokuwa early 20s(22 actually),nilikuwa nafuatwa sana wamama over age walikuwa wakiniapproach sana kwa offer za vinywaji(nilikuwa college na hao walikuwa madaktari,ama wake za watu na wengine malecturer)...

Nilikuwa mwepesi kuzikimbia kwa woga wa kufelishwa na miaka hiyo ndiyo Ukimwi ulikuwa unaogopeka utadhani ukitamka neno lenyewe unapata!
Ila watu walikuwa wananifuaata na kuniambia we kama hutembei na Dr .........,basi ye anakutaka na wewe humtaki..
 
Muosha huoshwa hasa mgongo wake! Achana kabisa na hayo mawazo machafu.
 
Haaahaaa! Basi nimekosea nilimaanisha mtu mwingine sio wewe.

Au ndio yale yale... nakua inlove wote mwaona but I myself can not tell...lol... But on that basis nikijitazama na kujiuliza nakuta the person I have feelings for ndio hubby mwenyewe... inakuaje hapo? inakua nilimkubali tu then I fall in love ndani ya ndoa? lol
 
Back
Top Bottom