Mkiandamana achaneni na kuharibu mali za umma au za watu

GenuineMan

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2017
Posts
7,068
Reaction score
16,380
Kuharibu Mali za Umma au za mtu yeyote sio njia nzuri ya kufanya demonstration.

Hizi Mali za Umma, ni kodi zetu ndio zinatumika kujenga.
KWa akili ya kawaida tuu kituo cha mwendokasi au kituo cha polisi hakuna faida yoyote ukikichoma moto, zaidi ya hasara.

Maandamano kwa watu waliostarabika
Wanaingia barabarani kwa wingi na mabango, huku wakipaza sauti ni nini wanataka.

Ukienda kuchoma kituo cha polisi , vyombo vya ulinzi haviwezi kukuacha , mwisho wa siku sehemu muhimu zitatiwa moto.

Mwisho pole kwa waliofiwa na ndugu jamaa na marafiki.
Mungu awasaidie katika kipindi hiki kigumu
 
Hao vibaka acha kupoteza muda kuwashauri wameshanogewa na mali za wizi wameona walivyoiba vimeisha sahivi wanapanga tena waingie barabarani kama kawaida yao ili waibe tena, Safari hii lazima nitawasaidia polisi kuwatanguliza akhera hawa vibaka.
 
Naomba nieleweshwe kidogo, sifahamu vizuri kuhusu yale maandamano; Nimeambiwa mwanzo polisi hawakuwa wakidhuru watu, ila baada ya kuona mali zinaharibiwa ndipo wakaanza kuwaua. Je, ni kweli?
 
Wauhuni kila mtu anabandua stika za ccm kwenye chombo chake hata yale ma fekoni hayapo tena mtaani
 
Kuharibu Mali za Umma au za mtu yeyote sio njia nzuri ya kufanya demonstration.

Hizi Mali za Umma, ni kodi zetu ndio zinatumika kujenga.
KWa akili ya kawaida tuu kituo cha mwendokasi au kituo cha polisi hakuna faida yoyote ukikichoma moto, zaidi ya hasara.

Maandamano kwa watu waliostarabika
Wanaingia barabarani kwa wingi na mabango, huku wakipaza sauti ni nini wanataka.

Ukienda kuchoma kituo cha polisi , vyombo vya ulinzi haviwezi kukuacha , mwisho wa siku sehemu muhimu zitatiwa moto.

Mwisho pole kwa waliofiwa na ndugu jamaa na marafiki.
Mungu awasaidie katika kipindi hiki kigumu
Hata wasingechoma chochote bado wangeuliwa. Tuna uzoefu maandamano ya kupinga utawala wa majizi. Kama rais alipanga atangazwe kwa kura 31m ambazo hakuna hao wapiga kura, unadhani angekubali maandamano ya aina yoyote? Hata hivyo ni wapi kuna maandamano ya kupinga dhuluma ya watawala yasiyo na uharibifu?

Basi tarehe 9 december tunarudi barabarani bila kuharibu chochote uone kama tutakubaliwa. Usiache kuanzisha uzi wa kuunga mkono hayo maandamano ya amani.
 
Hao vibaka acha kupoteza muda kuwashauri wameshanogewa na mali za wizi wameona walivyoiba vimeisha sahivi wanapanga tena waingie barabarani kama kawaida yao ili waibe tena, Safari hii lazima nitawasaidia polisi kuwatanguliza akhera hawa vibaka.
Aunt lucha
 
Naomba nieleweshwe kidogo, sifahamu vizuri kuhusu yale maandamano; Nimeambiwa mwanzo polisi hawakuwa wakidhuru watu, ila baada ya kuona mali zinaharibiwa ndipo wakaanza kuwaua. Je, ni kweli?
Unaamini taarifa ya polisi? Kama ni kweli kwanini polisi wanazika watu sasa kwenye makaburi ya pamoja?
 
Kuna muda uhuni unamalizwa kwa uhuni. Mtu anakuonea huwezi kumpeleka mahakamani utaenda na options za kihuni tu.

Ujumbe umetumwa wahusika mmekaza fuvu kuuelewa. Mara ya kwanza waliharibu mali, safari ijayo sitaki kuaminj wataishia kwenye mali tu. Sio viongozi, machawa,waandamanaji wala sisi wananchi tutakuwa safe.

Kuna muda mwingi wa kutumia kupoza maumivu ya waathirika wa maandamano kabla ya hiyo tarehe waliyopanga haijafika.

Lakini guess what? Mnajadili mali na sio roho ya katoto ka mwaka mmoja mlikokapiga risasi, mnajadili mali badala ya wale waliouwawa wakiwa ndani ya nyumba zao.

Watu kama wewe ndio mnaompa Mama ushauri "Sasa Bi mkubwa ili haya mambo yasijirudie tuwakamate baadhi halafu tuwape kesi za uhaini wengine wataogopa."

KUOGOPA?! Vijana wamebeba jeneza la mwenzao wanaenda kuzika wanaimba Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote, kuna harufu ya woga hapo?

Mwingine kafiwa wiki iliyopita wiki hii mwanae mwingine yupo Mahakamani kesi ya UHAINI. Halafu mnapita kuwabrainwash mazuzu kama nyinyi eti Mange anahamasisha maandamano.

Usijihisi uko salama kwa kuwa siku hiyo utajifungia ndani unaangalia Sinema Zetu. Watu wameuwawa hapo hapo sebulani. Watu wameuwawa na wino wa kutiki upo kidoleni.

ENDELEA KUDISCUSS MALI AMBAZO ZINATAFUTWA UKIJASAHAULISHA KUHUSU ROHO INAYOKUJA MARA MOJA NA KUONDOKA MARA MOJA.
 
Hao vibaka acha kupoteza muda kuwashauri wameshanogewa na mali za wizi wameona walivyoiba vimeisha sahivi wanapanga tena waingie barabarani kama kawaida yao ili waibe tena, Safari hii lazima nitawasaidia polisi kuwatanguliza akhera hawa vibaka.
Tunasaka silaha kwa nguvu kubwa. Hakuna uwezo wa kuendelea kutawaliwa tena na majizi kwa shuruti. Safari hii mujiandae kisaikolojia. We loose a battle, not a war.
 
Kuchoma matairi kwenye lami tayari wote tumeanza kuonja joto ya jiwe!

Hayo mahandaki yatakayotokea hapo labda wayawahi.
 
Naona walikuwa wanachoma mali za kigisadi na wale wana associate na ccm
 
Tunasaka silaha kwa nguvu kubwa. Hakuna uwezo wa kuendelea kutawaliwa tena na majizi kwa shuruti. Safari hii mujiandae kisaikolojia. We loose a battle, not a war.
Nyumbu wewe silaha unaisaka jf, We kweli chakula cha mamba
 
Chawa subiri utaona usichoamini. Hata màndamano ya juzi hamkutegemea. Sasa subiri utafurahia show. Ukitaka kujua game limeharibika, jiulize kama nyie machawa mnathubutu tena kuvaa sare za ccm.
 
Hao vibaka acha kupoteza muda kuwashauri wameshanogewa na mali za wizi wameona walivyoiba vimeisha sahivi wanapanga tena waingie barabarani kama kawaida yao ili waibe tena, Safari hii lazima nitawasaidia polisi kuwatanguliza akhera hawa vibaka.
wewe si Muislam wewe??? du waafrika kazi kweli
 
Chawa subiri utaona usichoamini. Hata màndamano ya juzi hamkutegemea. Sasa subiri utafurahia show. Ukitaka kujua game limeharibika, jiulize kama nyie machawa mnathubutu tena kuvaa sare za ccm.
Hiyo silaha utaitafuta miaka 10 na siku ukiipata utakufa kabla huja pull trigger, kenge wewe
 
Kuharibu Mali za Umma au za mtu yeyote sio njia nzuri ya kufanya demonstration.

Hizi Mali za Umma, ni kodi zetu ndio zinatumika kujenga.
KWa akili ya kawaida tuu kituo cha mwendokasi au kituo cha polisi hakuna faida yoyote ukikichoma moto, zaidi ya hasara.

Maandamano kwa watu waliostarabika
Wanaingia barabarani kwa wingi na mabango, huku wakipaza sauti ni nini wanataka.

Ukienda kuchoma kituo cha polisi , vyombo vya ulinzi haviwezi kukuacha , mwisho wa siku sehemu muhimu zitatiwa moto.

Mwisho pole kwa waliofiwa na ndugu jamaa na marafiki.
Mungu awasaidie katika kipindi hiki kigumu
Warudie tena sasa hivi tunawaambia polisi wapumzike hao panya road tutashughulila nao sisi raia wema
 
Mali za kifisadi lazima zichomwe Moto

Watafute Mali halali Umbwa hao na wewe chawa wao wape salamu

9 December to remember!!
And surely you gona remember it to your grave...just pick a plot in advance.
 
Back
Top Bottom