Mkeo akifanya hivi wewe utakubali?

Mkeo akifanya hivi wewe utakubali?

jamiimemba

Senior Member
Joined
Oct 30, 2014
Posts
156
Reaction score
39
Mpo club mnacheki show ghafla anapanda jukwaani na kumbusu Dimond Platnumz kifuani.
 
Attachments

  • DIAMONDKAHAMA2.jpg
    DIAMONDKAHAMA2.jpg
    43.7 KB · Views: 3,157
mbuzi kafia kwa muuza supu. Na huyo sio wife material, ni shankupe la mjini.
 
kwanza siwezi fikia hatua ya kuoa muenda madisco kama huyo.Hivi unajua kama wanawake wengine wameshajijua wao sio wa kuolewa.
 
Mimi ambaye nilishampiga marufuku mke Wangu kuvaa Suruali, kwa tukio hilo akitenda nta mpiga talaka tu.Alaa yaani ananiletea uzungu hapa!.
Niliwahi pia kumpiga,baada ya kijana kumsalimia na ye akamjibu safi niambie, sasa akwambie nini, pumbaaafu nikampa makofi ya nguvu palepale.
 
Ha ha ha ha,watu na wake zao bhana
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Mimi ambaye nilishampiga marufuku mke Wangu kuvaa Suruali, kwa tukio hilo akitenda nta mpiga talaka tu.Alaa yaani ananiletea uzungu hapa!.
Niliwahi pia kumpiga,baada ya kijana kumsalimia na ye akamjibu safi niambie, sasa akwambie nini, pumbaaafu nikampa makofi ya nguvu palepale.

mkuu salam tu co mbaya sana
 
lol! isiwe tabu paaa paaa paaa paaaa hadharani.

Back
Top Bottom